Nyerere alishauriana na nani kuunganisha Tanganyika na Zanzibar?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Suala la muungano sio suala la hitaji binafsi la mtu maana ni suala ambalo linagusa taifa vizazi na vizazi.

Ninadhani mpaka kufika suala la kuungana au kutoungana ilibidi maoni yakusanywe kutoka kwa wananchi wa pande zote mbili .

Yani kama ilivyo utaratibu wa kupiga kura za rais ilibidi iwe hivyo hivyo watu waende kwenye vituo vya kura kupiga kura ya ndio au hapana katika pande zote mbili.

Na ili suala la muungano lipitishwe basi angalau pande zote mbili kura za ndio ziwe 80% na kuendelea katika pande zote mbili.

Sasa je Nyerere na Karume walitumia vigezo gani au walishauriana na nani hizi nchi ziungane ?

Je walilala tu na kuamka na kuamua kuungana au ulifanyika utaratibu gani?

Na binafsi naona kabisa suala la muungano lilibid liwe la mchakato , ilibidi watu wapite kwenye majimbo kueleza sababu za kuungana ili watu watoe maoni yao.
 
Alichokosea ni hiki .
1.kuweka kwa mba Tanganyika ndio inawakopea zanzibar hela , yaani inatunza nchi ingine .
Maslahi makubwa zanzibar wanapata kutoka baraa .
2. Wa zanzibar wana haki ya kuishi na kuingia Tanganyika kwa kigezo cha muungano hawana haja yakukaguliwa wala nini .
Ila wa bara wakitaka kuingia zanzibar wanakaguliwa na hawana haki yakununua ardhi wala yakuishi Zanzibar. .
3. Wanzanzibar wanahaki yakufanya kazi Bara ila watanganyika hawana haki zanzibar .

Angetakiwa afanyaje .
KIla mmoja abaki na nchi yake inayoitwa jina lake.
Mf. Tanganyika ibaki tanganyika na zanzibar wao wamebaki na zanzibar jina lao so linawatambulisha halafu waweke serikali ya Muungano tu ambao ndio wangeita Tanzania .
Na ndio wangeweka achaguliwe kuiongoza ambayo hilo jina linahusishwa nchi mbili.

Mf. Tanzania ingekuwa ni la muungano tu kama east africa community iwe na wimbo wake na kiongozi yake na wafuasi wake .
Nakila nchi inakuwa inapata faida kama misaada na maendeleo kutokana na serikali hiyo.
Ambayo kila baada ya miaka 5 au kumi anachaguliwa kama anatoka zanzibar sawa na kama atatoka bara ni sawa .
Na wangechaguliwa watu ambao watatoka bara na watu watakaotoka zanzibar kufuatilia mikutano hiyo kama wanavyofanya east africa community .

Maana hii hali inatosha nakukeraaa
 
Jamaa wametufikisha pabaya sana.
 
Suala la muungano sio suala la hitaji binafsi la mtu maana ni suala ambalo linagusa taifa vizazi na vizazi.

Ninadhani mpaka kufika suala la kuungana au kutoungana ilibidi maoni yakusanywe kutoka kwa wananchi wa pande zote mbili .

Yani kama ilivyo utaratibu wa kupiga kura za rais ilibidi iwe hivyo hivyo watu waende kwenye vituo vya kura kupiga kura ya ndio au hapana katika pande zote mbili.

Na ili suala la muungano lipitishwe basi angalau pande zote mbili kura za ndio ziwe 80% na kuendelea katika pande zote mbili.

Sasa je Nyerere na Karume walitumia vigezo gani au walishauriana na nani hizi nchi ziungane ?

Je walilala tu na kuamka na kuamua kuungana au ulifanyika utaratibu gani?

Na binafsi naona kabisa suala la muungano lilibid liwe la mchakato , ilibidi watu wapite kwenye majimbo kueleza sababu za kuungana ili watu watoe maoni yao.
Nyerere alikuwa mchawi na mshirikina. Nadhani kwa kuwa anatokea kwenye familia za kichifu.

Alikuwa anashauriana na mashetani kuongoza nchi
 
LIlikuwa ni takwa la Marekani. Lengo halikuwa muungano, neno muungano lilitumika ili kurahisisha mambo. Lakini takwa la Marekani lilikuwa Nyerere aichukue Zanzibar na kuifanya kuwa sehemu ya Tanganyika. Huo ni wakati ambao Tanganyika ilikuwa rafiki wa karibu wa Marekani na Ujerumani Magharibi. Kulikiwa na hofu kuwa Zanzibar ikiachwa kama nchi huru, itaangukia kwenye mataifa ya Mashariki. Ni wakati wa uongozi wa Rais Kennedy wa Marekani. Wakati huo Tanganyika ilikuwa haina hata ndoto ya mambo ya ujamaa. Rais Kennedy alikuwa rafiki mkubwa wa Mwalimu. Nyerere, walikubaliana kuwa Tanganyika isiwe karibu na adui. Wakati huo mataifa ya Mashariki, yalihesabika kuwa maadui wa mataifa ya Magharibi. Bahati mbaya ikatokea, Rais Kennedy akauawa, na Rais aliyefuatia akasema hana muda na mambo ya Afrika. Mwalimu kwa hasira, ili kuwakomoa Wamarekani, akaamua kuegemea kwa mataifa ya Mashariki, na kuondoa lile wazo la kutumia mbinu kuifanya Zanzibar kuwa mkoa wa Tanganyika. ile process ya kuichukua Zanzibar, ingekamilika, matatizo haya ya sasa yasingekuwepo.
 
siku hizi manjifanya mko smart sana na hakuna kitu mnasaidia Taifa, katika muungano hakuna kitu umechangia kirekibishwe ili uwe imara
 
Back
Top Bottom