Nyerere alitengeneza Systematic stupidity. Hiyo ndio inatesa Tanzania mpaka leo

Mfumo wa Nyerere umebana kotekote haiwezekani labda jeshi liamue kupindua, au yafanyike maandamano makubwa mno au wachawi waroge viongozi wote wafariki kwa mpigo. Au Mungu atende muujiza.


Au watanzania waumize akili waje na Mbinu mpya ya kuutoa mfumo wa "systematic stupidity"
 
Huyo mzee ndio chanzo cha matatizo yote. Ndani ya kichwa chake palikuwa empty
Mimi huwa nasema kukaa na kuanza kumzungumzia Nyerere kuwa eti ndiyo chanzo cha watanzania kuwa wajinga ni kukwepa wajibu wetu. Watu waoga na wavivu siku zote hujaribu kuhamishia majukumu au shutuma kwa wengine. Watanzania sisi ni waoga na wavivu. Tunataka viongozi wa dini watufanyie kazi ya kuiwajibisha serikali, tunataka jeshi nalo litusaidie, mara wastaafu....
 
Acha maneno, Toa suluhisho, njoo ya ubunifu wa kuubadilisha mfumo ili nchi iwe na haki
 
Nyerere ndio muasisi wa taifa hili yeye ndio muasisi wa systematic stupidity ambayo mpaka leo inatesa Tanzania
Akilindogosana jaribu kufikiria kuna nchi ya Afrika yenye kuwa na afadhali?
Wakina Nyerere walifanya kile kitu walichotakiwa kufanya nacho ni kuomba uhuru lakini baada ya hapo mpaka sasa hivi bado tuna ahidiwa kuletewa maji na umeme ilhali tuna taasisi za elimu nyingi tu na watu wana-graduate katika fani tofauti na wanafanya tafiti tofauti lakini hatujasaidika, mimi naona hiyo systematic stupidity imejengwa na waliyotupa uhuru na si Nyerere.
 
macho_mdiliko zingatia hili
 
Systematic stupidity imetengenza na akina Nyerere, enzi za chama kimoja cha Tanu baadae ccm, huo mfumo upo mpaka sasa.
Huo mfumo unatutesa mpaka leo, huo mfumo umeasisiwaba akina Nyerere, kama unao ubunifu wa kuubadilisha mfumo huo uulete. Bado tuna safari ndefu mno. Huu mfumo wa " systematic stupidity" sio rahisi kuubadilisha
 
Acha maneno, Toa suluhisho, njoo ya ubunifu wa kuubadilisha mfumo ili nchi iwe na haki
Narudia tena. Kuhamishia lawama kwa mtu mwingine unapo-fail ni dalili ya kutojua wajibu wako. Watu wenye akili huenda kwenye suluhisho moja kwa moja na siyo kulaumu. Vijana wengi wa sasa hivi wamezaliwa Nyerere hayupo, kwa nini hawajadai mabadiliko?
 
Kwa sasa tatizo kubwa, na sio Tanzania tu bali Afrika kwa ujumla ni corruption; umimi na ukosefu wa ujira na watu kutokupata value for money (makusanyo lukuki bali huduma hakuna) na Nyerere alisema yafuatayo kama ndani ya UZI huu unavyosema..... (Na kwenye huu Upuuzi bado wajukuu zenu kama watakuwa na akili kama zenu watamlaumu)


Nikukumbushe tu it does not matter the color of the Cat as long as it Catches Mice....;- (Na kipindi hicho angalau walikuwa kwenye mapambano na Maadui zetu watatu, watu walipata Huduma za Afya, Watu walipata Grant kwenda Chuo, sio sasa hivi hata Mkopo mtu hapati, na Ukimaliza angalau ulipata sehemu ya kujipatia Ujira....; Sasa hivi hawa ambao ndio wangekuwa tegemeo letu wamegeuka kuwa Mapanya na wadokozi wasio na akili wanakula mpaka mbegu

 
Narudia tena. Kuhamishia lawama kwa mtu mwingine unapo-fail ni dalili ya kutojua wajibu wako. Watu wenye akili huenda kwenye suluhisho moja kwa moja na siyo kulaumu. Vijana wengi wa sasa hivi wamezaliwa Nyerere hayupo, kwa nini hawajadai mabadiliko?
Kama una suhulisho, tafadhali sema.
 
Narudia tena. Kuhamishia lawama kwa mtu mwingine unapo-fail ni dalili ya kutojua wajibu wako. Watu wenye akili huenda kwenye suluhisho moja kwa moja na siyo kulaumu. Vijana wengi wa sasa hivi wamezaliwa Nyerere hayupo, kwa nini hawajadai mabadiliko?
Mfumo unaonufaisha watu na familia zao unadhani watakubali kuuachia kirahisi
 
You seem to think Tanzania politics is static, each president following Nyerere has thus far been restricted to divert from his leadership style.

Live alone the questionable merit of arguments presented, if they actually reflect Nyerere leadership style.
 
Nyerere started the "systematic stupidity" system. The system is still in use right now, and other leaders are using it and updating the system for their own benefits while Tanzanians are suffering and others are abducted and killed.
 
Kuendelea kumlaumu Nyerere ni sawa na kumlaumu babu yako kwa umaskini wako. Baba yako had the chance to make a change na wewe umekuwa mtu mzima bado unamlaumu babu yako huo ni uzwazwa. Ukishakuwa mtu mzima coming from a poor background can't be an excuse; you are the background now. Mnapenda sana cheap excuses kwa ujinga wenu.
 
Nyerere started the "systematic stupidity" system. The system is still in use right now, and other leaders are using it and updating the system for their own benefits while Tanzanians are suffering and others are abducted and killed.
How so? Briefly explain the so called ‘systematic stupidity’ system with Nyerere leadership context (providing atleast) one or two examples to justify your point.

You can’t just google theories and attach them to people, the same article one can’t interpret it as talking about current populism leadership which Trump prefers.

There are so many point of views mentioned in the article, where a reader can attribute to anyone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…