Habari ndugu wanajamii. Aisee kwanza Mimi Sio mtanzania ni mtanganyika. Kama Zanzibar ipo iweje Tanganyika?
Je, mzanzibar ni mtanzania?? Hapa ndo utaona mwalimu Nyerere pamoja na sifa mnazompa ni batili. Huyu BABA alijenga mfumo wa nchiiii kutegemea mtu mmoja Yaani watu milioni 60 mnategemea mtu mmoja ataamkaje.
Haya Ni matunda ya uasisi wa mwalimu na ata hizi ishu za kuteka watu na kuwaua hazijaibuka ghafla zimeasisiwa.Sasa umasikini tulionao ni matunda ya mwalimu.
Hakujikita kujenga taasisi imara kwa Sababu taasisi ya uraisi ndo inaratibu kila kitu nchiiii ipo mateka.wale mnataka katiba ya mzee warioba nawaaambia ikifika kwenye muungano ndo mtajua sura halisi ya mwalimu.Huu muungano ulikuwa kwa masirahi ya nani?
Yaani nchi ya watu Mill 60 sasa hivi inaongozwa na mkoa wenye watu laki mbili.Hakika viongozi wa kiroho mnapaswa kuona miaka 15 ijayo itakuwaje vinginevyo naona machafuko