Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hivyo viwanda vilikuwa vya watu binafsi, sana sana wahindi na wazungu na vilikuwa vinazalisha vizuri tu kabla ya kutaifishwaKilombero kilikuwepo kabla ya uhuru. Asilimia kubwa ya viwanda mnavyosema Nyerere alituachia vilikuwa vya watu binafsi baadaye Nyerere akataifisha. Na kama si vilitaifishwa, vilijengwa kwa msaada wa nchi zingine. Ni propaganda za CCM za kumfanya Nyerere mungu mtu ndiyo ziliwafanya wengi wasijue ukweli.
Nyerere akawapora hivyo viwanda na kuvifanya vya serikali, serikali ikashindwa kiviendesha vikafa, ndio Mkapa akajaribu tena kuvikabidhi kwa watu binafsi lakini ikawa too late