Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Hivyo viwanda vilikuwa vya watu binafsi, sana sana wahindi na wazungu na vilikuwa vinazalisha vizuri tu kabla ya kutaifishwaKilombero kilikuwepo kabla ya uhuru. Asilimia kubwa ya viwanda mnavyosema Nyerere alituachia vilikuwa vya watu binafsi baadaye Nyerere akataifisha. Na kama si vilitaifishwa, vilijengwa kwa msaada wa nchi zingine. Ni propaganda za CCM za kumfanya Nyerere mungu mtu ndiyo ziliwafanya wengi wasijue ukweli.
Karume na Nyerere walikuwa worse kuliko wakoloni ila tunavyowaabudu sasaNa usisahau mkoloni aliruhusu vyama vingi kwa mfano uchaguzi wa 1958-1959 lakini Nyerere alivyoingia madarakani aliminya demokrasia na upinzani wake akawafukuza wakina Kambona. Alitawala kama mfalme.
Kwani, nani alikuambia kuwa mkoloni alikuwa mtu mbaya?Karume na Nyerere walikuwa worse kuliko wakoloni ila tunavyowaabudu sasa
Karume mwenyewe alipopindua serikali kule Zenj akafuta vyama vyote vya siasa na kusema hakuna uchaguzi, kitu ambacho hata mkoloni hakufanya