Nyerere angelirekebisha Katiba hii, mateso yote haya yasingelikuwepo

Nyerere angelirekebisha Katiba hii, mateso yote haya yasingelikuwepo

Bado tumekwama kwa nyerere?? Maisha yana kua katiba inahitaji kukua pia, nyerere asingemaliza yote, aliacha msingi na tahadhari, ni wakati sasa wa chura kiziwi kufanya nafasi yake
 
Hii Katiba yenyewe imeacha kufuatwa tokea awamu ya tano hata hiyu Mama ni mpaka pale Mabeyo alipolazimisha ifuatwe ndia akawa raisi.

Alipoapishwa na yeye anasema "Katiba ni kijitabu".
 
Ni Nyerere tu ndiye aliyekuwa na uwezo wa kufanya hivyo?
 
Bado tumekwama kwa nyerere?? Maisha yana kua katiba inahitaji kukua pia, nyerere asingemaliza yote, aliacha msingi na tahadhari, ni wakati sasa wa chura kiziwi kufanya nafasi yake
alikuwa na maono ya mbali and he had a template in his head.... angelitumia nafasi hiyo yagelikuwa yanafanyka marekebisho madogo kama wanavyofanya USA au tusiende mbali...Kenya
 
Huyu mzee kaburi lake lishitakiwe, alituachia katiba ya hovyo kuzidi hata hovyo yenyewe
 
Back
Top Bottom