Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
John...Mkuu unaikumbuka Nyumba ilipozaliwa TANU?
Ni ile ya MwinyiJuma pale Mwananyamala?John...
Naikumbuka sana.
Aibu kubwa hata kukarabati tu ile nyumba mnashindwa?Ni ile ya MwinyiJuma pale Mwananyamala?
John...Ni ile ya MwinyiJuma pale Mwananyamala?
Aro...Hivi kizazi cha akina Mwapachu, Sykes, Rupia, Kirilo, Kambona, hawana watu waliopo kwenye siasa kwa sasa kwa nini?
Wakati nasoma shule ya Msingi nilikuwa napita kila siku pale kwa Mzee Mwinjuma na yeye alipenda kupumzika jirani na zizi la ng'ombe wakeJohn...
Ukweli ni kuwa TANU ilizaliwa katika nyumba ya Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.
Kuna kipindi cha Nyerere Day Zumari, Azam TV nimeweka hapa video yake angalia yapo mengi utajifunza.
Vipi TANU ianzishwe kwa Mzee Mwinjuma Mwinyikambi halafu kadi ya TANU No. 1 iwe Julius Nyerere, no. 2 Ally Sykes no. 3 Abdul Sykes no. 4 Dossa Aziz, no. 5 Denis Phombeah, no. 6 Dome Okochi Budohi na no. 7 Abbas Sykes.
Hii kadi no. 7 kuna taarifa nyingine zinasema ni ya John Rupia.
Wami...
Naifahamu mzee Mohamed Said . ule uwaja wa ccm Mwinyijuma tulikua tukicheza mpira paleWami...
Ile nyumba sipo ilipoasisiwa TANU.