Nyerere DAY 2022: Picha adimu

Nyerere DAY 2022: Picha adimu

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA)
Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere.

Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka yote hiyo historia hii haikuwa inafahamika na historia nzima ikawa anaeelezwa na Mwalimu Nyerere peke yake.

Nimeona itakuwa bora kama nitaweka picha za baadhi ya wazalendo wengine waliokuwapo wakati ule na wakatoa mchango ambao ndiyo huo haukujaaliwa kuandikwa na wanahistoria:

1666697556834.png
1666697591807.png
1666697624026.png
1666697664956.png

1666697702459.png

Denis Phombeah
1666697746501.png
 
Hivi kizazi cha akina Mwapachu, Sykes, Rupia, Kirilo, Kambona, hawana watu waliopo kwenye siasa kwa sasa kwa nini?
 
Ni ile ya MwinyiJuma pale Mwananyamala?
John...
Ukweli ni kuwa TANU ilizaliwa katika nyumba ya Abdul Sykes Mtaa wa Stanley na Sikukuu.

Kuna kipindi cha Nyerere Day Zumari, Azam TV nimeweka hapa video yake angalia yapo mengi utajifunza.

Vipi TANU ianzishwe kwa Mzee Mwinjuma Mwinyikambi halafu kadi ya TANU No. 1 iwe Julius Nyerere, no. 2 Ally Sykes no. 3 Abdul Sykes no. 4 Dossa Aziz, no. 5 Denis Phombeah, no. 6 Dome Okochi Budohi na no. 7 Abbas Sykes.

Hii kadi no. 7 kuna taarifa nyingine zinasema ni ya John Rupia.
 
Wakati nasoma shule ya Msingi nilikuwa napita kila siku pale kwa Mzee Mwinjuma na yeye alipenda kupumzika jirani na zizi la ng'ombe wake

Niliamini pale ndipo ilipozaliwa TANU

Hata mazishi yake nilishiriki pale jirani
 
Wami...
Ile nyumba sipo ilipoasisiwa TANU.
Naifahamu mzee Mohamed Said . ule uwaja wa ccm Mwinyijuma tulikua tukicheza mpira pale

Wami bar pia napafahamuni ulikua ukumbi wa burudanibabu yangu alikua mwanamuziki pia alikua rafiki mkubwa wa Bob Rashid Makani walikua wanakutana hapo Wami bar kufanya mazungumzo yao mimi nikiwa mdogo sana nimebebwa na babu yangu.
 
Back
Top Bottom