Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA)
Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa 1953 katika ya Abdul Sykes na Julius Nyerere.
Maswali yamekuwa mengi kwangu kuwa imekuwaje miaka yote hiyo historia hii haikuwa inafahamika na historia nzima ikawa anaeelezwa na Mwalimu Nyerere peke yake.
Nimeona itakuwa bora kama nitaweka picha za baadhi ya wazalendo wengine waliokuwapo wakati ule na wakatoa mchango ambao ndiyo huo haukujaaliwa kuandikwa na wanahistoria:
Denis Phombeah