ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Wameibuka watu waongo ati wao ndo walimwaga damu ili Tanganyika upate uhuru
Uhuru wetu haukupiganiwa na yeyote msijipe umuhimu wa bure
Suala la uhuru lilikuwa na suala la muda wa uhuru hata Nyerere angekaa kimya uhuru tungepata tu, hadi Leo hakuna nchi ambayo ni koloni la mzungu
Kutoa Uhuru Tanganyika ilikuwa sera ya UNO ya decolonization wala sio juhudi za Nyerere wala mashehe
Msijifiche kwenye kichaka cha kupigania uhuru