ok ndugu msusa uchaguzi 🐒Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda.
Uyuda wa Yuda Eskarioti hauna tofauti na uyuda wa Nyerere, hasa tunapotafakari aina hii ya muungano wa ovyo alioubuni. Wakati Nyerere alipofika bei ya kuiuza Tanganyika kwa Karume, Rais Karume alipendekeza ziundwe serikali tatu:
Serikali ya Tanganyika;
Serikali ya Zanzibar; na
Serikali ya Shirikisho.
Kwa sababu ya kutafuta sifa za kijinga na kwa kujiona yeye ni msomi kuliko watu wote, Nyerere alikataa wazo la Karume lakini akapendekeza kuwepo na aina ya huu muungano wa kipumbavu unaotutesa hadi sasa. Ijapokuwa Nyerere alijiona msomi mwenye shahada ya uzamiri (MA in Political Science and Ecomics) ukilinganisha na Karume ambaye hakwenda shule, inaonekana wazi Karume alikuwa na busara na IQ kubwa kuliko Nyerere.
Ukiangalia wazo la Karume, utagundua Karume alikuwa sahihi kwa zaidi ya 100%. Laiti huyu msomi uchwara mwenye mawazo ya kijima (Nyerere) angemsikiliza Karume na kuunda serikali 3, nchi ya Tanganyika isingemezwa na kugeuzwa kuwa koloni la Zanzibar. Huu muungano wetu ni wa kishetani sana. Wewe fikiria wakati Nyerere anaiuza Tanganyika, idadi ya watu Tanganyika ilikuwa 12,000,000 huku Zanzibar ikiwa na watu 300,000 tu. Wakati huo mkoa wa Mwanza pekee ulikadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao 1,000,000. Yaani nchi nzima ya Zanzibar ilikuwa haifikii hata kuwa sehemu ya mkoa wa Tanganyika!
Sasa fikiria Zanzibar haifikii hadhi ya mkoa wowote ule wa nchi ya Tanganyika lakini tunagawana mapato pasu. Wao wanakusanya mapato yao kule Zanzibar wanayatumia wenyewe lakini sisi kile tunachokusanya hapa Tanganyika tunagawana nao pasu. Kama sio uzezeta ni nini? Kumbuka uzezeta huu uliasisiwa na Nyerere kwa maslahi ya kutafuta kiki kimataifa ili aonekane anapenda umoja. Mtu wa ovyo sana huyu.
Hawa walaji wa uroja na machogo yao wanafaidi sana rasilimali za Tanganyika. Wametapakaa kila mkoa wa Tanganyika wakimiliki mamilioni ya ekari za ardhi ilhali hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi wala kujenga kwenye ardhi yao huko Zanzibar. Huu sasa ni muungano gani kama sio utoko? Natamani siku moja huu muungano ufe tutaifishe mali zote wanazomiliki hapa Tanganyika na kuwafurusha makwao hawa mbweha wakashindie urojo.
Kwa kuwa Nyerere ndiye aliyetuletea upumbavu huu, anapaswa kulaumiwa na kulaaniwa na kila mtanzania badala ya kuonekana shujaa wa Taifa. Bila yeye, upumbavu wote huu usingewezekana na usingekuwepo.
Nawasilisha.
Tangu lini wewe Mpemba ukawa na uchungu na Tanganyika? Umeandika unafiki mtupu. Nyerere kafa 1999, imepita miaka mingapi hamjabadirisha hilo?Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda.
Uyuda wa Yuda Eskarioti hauna tofauti na uyuda wa Nyerere, hasa tunapotafakari aina hii ya muungano wa ovyo alioubuni. Wakati Nyerere alipofika bei ya kuiuza Tanganyika kwa Karume, Rais Karume alipendekeza ziundwe serikali tatu:
Serikali ya Tanganyika;
Serikali ya Zanzibar; na
Serikali ya Shirikisho.
Kwa sababu ya kutafuta sifa za kijinga na kwa kujiona yeye ni msomi kuliko watu wote, Nyerere alikataa wazo la Karume lakini akapendekeza kuwepo na aina ya huu muungano wa kipumbavu unaotutesa hadi sasa. Ijapokuwa Nyerere alijiona msomi mwenye shahada ya uzamiri (MA in Political Science and Ecomics) ukilinganisha na Karume ambaye hakwenda shule, inaonekana wazi Karume alikuwa na busara na IQ kubwa kuliko Nyerere.
Ukiangalia wazo la Karume, utagundua Karume alikuwa sahihi kwa zaidi ya 100%. Laiti huyu msomi uchwara mwenye mawazo ya kijima (Nyerere) angemsikiliza Karume na kuunda serikali 3, nchi ya Tanganyika isingemezwa na kugeuzwa kuwa koloni la Zanzibar. Huu muungano wetu ni wa kishetani sana. Wewe fikiria wakati Nyerere anaiuza Tanganyika, idadi ya watu Tanganyika ilikuwa 12,000,000 huku Zanzibar ikiwa na watu 300,000 tu. Wakati huo mkoa wa Mwanza pekee ulikadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao 1,000,000. Yaani nchi nzima ya Zanzibar ilikuwa haifikii hata kuwa sehemu ya mkoa wa Tanganyika!
Sasa fikiria Zanzibar haifikii hadhi ya mkoa wowote ule wa nchi ya Tanganyika lakini tunagawana mapato pasu. Wao wanakusanya mapato yao kule Zanzibar wanayatumia wenyewe lakini sisi kile tunachokusanya hapa Tanganyika tunagawana nao pasu. Kama sio uzezeta ni nini? Kumbuka uzezeta huu uliasisiwa na Nyerere kwa maslahi ya kutafuta kiki kimataifa ili aonekane anapenda umoja. Mtu wa ovyo sana huyu.
Hawa walaji wa uroja na machogo yao wanafaidi sana rasilimali za Tanganyika. Wametapakaa kila mkoa wa Tanganyika wakimiliki mamilioni ya ekari za ardhi ilhali hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi wala kujenga kwenye ardhi yao huko Zanzibar. Huu sasa ni muungano gani kama sio utoko? Natamani siku moja huu muungano ufe tutaifishe mali zote wanazomiliki hapa Tanganyika na kuwafurusha makwao hawa mbweha wakashindie urojo.
Kwa kuwa Nyerere ndiye aliyetuletea upumbavu huu, anapaswa kulaumiwa na kulaaniwa na kila mtanzania badala ya kuonekana shujaa wa Taifa. Bila yeye, upumbavu wote huu usingewezekana na usingekuwepo.
Nawasilisha.
Mchonga aliingizwa cha kike na wazungu enzi za vita baridiUmeandika vitu vizito kabisa, ukiangalia huu muungano na jinsi ulivyo unafikia hitimisho kuwa Nyerere alikurupuka
Wazanzibar hawawezi kuuvunja huu muungano uchwara kwa sababu wananufaika nao kwa zaidi ya 100%.Hiki kilio tunacholia watanganyika wazanzibar wamelia kwa zaidi ya miaka 50 na tuliwaambia wakitaka wavunje muungano
Mda tulipoweka rais wetu
Nyerere,Mkapa,Jakaya,Magu na hata Mwinyi maana si wa hapo Masaki tuliona sawa
Mkuu, hapa hatulii bali tunaweka historia sawa tunapoadhimisha siku ya Nyerere day.Sawa.Tukubali Nyerere alikosea.Na,alituasa kwamba anatuachia nchi ila tuchukue mazuri yake(uongozi wa wakati wao)na kuendelea na kuyaboresha zaidi.Yaliyo mabaya,tuyaache.Sasa hadi leo tutabaki tunamlilia na kumlaumu marehemu hadi lini?Muda ni sasa(wakati ni huu),tubadilishe tukitakacho.
Hayo uliyoyaeleza mkuu,yameshaelezwa sana kabla na hata baada ya yeye kufariki.Muda unayoyoma huu.Vitendo vichukue mkondo wake.Time is now!Mkuu, hapa hatulii bali tunaweka historia sawa tunapoadhimisha siku ya Nyerere day.
Wewe unashauri nini kifanyike mkuu?Mnachekesha 😂 Nyerere alifanya mengi baadhi mazuri baadhi ya hovyo ! Hiyo miaka nenda rudi mmechukua hatua gani kurekebisha hayo aliyokosea ! Tena too good hakujifanya Mungu mtu kama wenzie waliong'ang'ania madaraka hadi leo !
Sasa kama kitu kinatuumiza kwanini tusikivunje , utagundua tatizo haliko kwa Nyerere tatizo liko kwetu wenyewe! Yeye alifanya kwa nafasi yake na kwa maono yake aliona chafaa !
Muache kulia lia mazuri mengi aliyoyaacha mzee yote yamewashinda kuyaendeleza , mabaya mmeshindwa kurekebisa mnataka kuanza kuonewa huruma !
Hapo hapo inapouma , tunagongelea msumari 😂
Lingelikuwa jambo jema kabla hujajadili jambo ukawa na ufahamu nalo. Wazungu wanasema "information is power".Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda.
Uyuda wa Yuda Eskarioti hauna tofauti na uyuda wa Nyerere, hasa tunapotafakari aina hii ya muungano wa ovyo alioubuni. Wakati Nyerere alipofika bei ya kuiuza Tanganyika kwa Karume, Rais Karume alipendekeza ziundwe serikali tatu:
Serikali ya Tanganyika;
Serikali ya Zanzibar; na
Serikali ya Shirikisho.
Kwa sababu ya kutafuta sifa za kijinga na kwa kujiona yeye ni msomi kuliko watu wote, Nyerere alikataa wazo la Karume lakini akapendekeza kuwepo na aina ya huu muungano wa kipumbavu unaotutesa hadi sasa. Ijapokuwa Nyerere alijiona msomi mwenye shahada ya uzamiri (MA in Political Science and Ecomics) ukilinganisha na Karume ambaye hakwenda shule, inaonekana wazi Karume alikuwa na busara na IQ kubwa kuliko Nyerere.
Ukiangalia wazo la Karume, utagundua Karume alikuwa sahihi kwa zaidi ya 100%. Laiti huyu msomi uchwara mwenye mawazo ya kijima (Nyerere) angemsikiliza Karume na kuunda serikali 3, nchi ya Tanganyika isingemezwa na kugeuzwa kuwa koloni la Zanzibar. Huu muungano wetu ni wa kishetani sana. Wewe fikiria wakati Nyerere anaiuza Tanganyika, idadi ya watu Tanganyika ilikuwa 12,000,000 huku Zanzibar ikiwa na watu 300,000 tu. Wakati huo mkoa wa Mwanza pekee ulikadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao 1,000,000. Yaani nchi nzima ya Zanzibar ilikuwa haifikii hata kuwa sehemu ya mkoa wa Tanganyika!
Sasa fikiria Zanzibar haifikii hadhi ya mkoa wowote ule wa nchi ya Tanganyika lakini tunagawana mapato pasu. Wao wanakusanya mapato yao kule Zanzibar wanayatumia wenyewe lakini sisi kile tunachokusanya hapa Tanganyika tunagawana nao pasu. Kama sio uzezeta ni nini? Kumbuka uzezeta huu uliasisiwa na Nyerere kwa maslahi ya kutafuta kiki kimataifa ili aonekane anapenda umoja. Mtu wa ovyo sana huyu.
Hawa walaji wa uroja na machogo yao wanafaidi sana rasilimali za Tanganyika. Wametapakaa kila mkoa wa Tanganyika wakimiliki mamilioni ya ekari za ardhi ilhali hakuna mtanganyika anayeruhusiwa kumiliki ardhi wala kujenga kwenye ardhi yao huko Zanzibar. Huu sasa ni muungano gani kama sio utoko? Natamani siku moja huu muungano ufe tutaifishe mali zote wanazomiliki hapa Tanganyika na kuwafurusha makwao hawa mbweha wakashindie urojo.
Kwa kuwa Nyerere ndiye aliyetuletea upumbavu huu, anapaswa kulaumiwa na kulaaniwa na kila mtanzania badala ya kuonekana shujaa wa Taifa. Bila yeye, upumbavu wote huu usingewezekana na usingekuwepo.
Nawasilisha.
Katika biblia tunasoma kwamba Yuda alimuuza Yesu kwa vipande 30 vya fedha. Yuda anachukuliwa kama msaliti kwa sababu aliamua kushirikiana na maadui kumuuza Yesu kwa maslahi yake binafsi. Hadi siku hizi, mtu yeyote anayeenda kinyume na mtazamo wa wengi kwa maslahi yake binafsi, huitwa Yuda.

Nyerere alikufa akaacha wasomi wangapi ? Na tokea amekufa ni mda gani umepita? Na leo hii wasomi wako wangapi? Taifa gani lenye wasomi wa kila aina tumlaumu Nyerere? Alifanya yale kwa wakati ule nakufananisha na mtu mmoja kwenye maandiko alipewa talanta akaenda kuifukia akimhofia mkuu wake kuwa alikuwa mkali akajawa woga na hofu yakuzalisha talanta nyingine.Kwa kuwa Nyerere ndiye aliyetuletea upumbavu huu, anapaswa kulaumiwa na kulaaniwa na kila mtanzania badala ya kuonekana shujaa wa Taifa. Bila yeye, upumbavu wote huu usingewezekana na usingekuwepo.