Nyerere kakaa Ikulu miaka 23 haya mambo hayakuwepo

Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.

Zama hizi imekuwaje kwani?
Kwanini Nyerere hakuondoka na katiba yake ya mwaka 1977 na mwenge wake wa uhuru aiche nchi yetu kwenye mikono salama?
 
Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.

Zama hizi imekuwaje kwani?
Watoto wa Mel JK Nyerere wengi wetu tuliwajua baada ya kifo chake.
 
Zama za Nyerere na sasa mambo mengi hayakuwepo. Kila zama na kitabu chake Mkuu.
Nyenzo za kupashana habari ndiyo zimebadilika lakini msingi wa Taifa bado ni ule ule... UTU.

Siku hizi huoni kama kuna kutukuzana kwa aina Fulani hivi? Fikiria hawa wa Sasa ndiyo wangekuwa wamepigania uhuru hali ingekuwaje?
 
Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.

Zama hizi imekuwaje kwani?
kwamba kutoka idadi ya wananchi milioni 9.9 mwaka 1960, mpaka sasa wananchi milioni 70+, kwamba pawepo na fikra zile zile, mahitaji yale yale au fursa zile zile gentleman?

hata wewe mwenyewe tu gentleman,
miaka mitatu tu iliyopita ulikua huna kipara kabisa,
ila sasa sijui kimetokea nini kichwani mwako, kipara kinag'aa kama bati jipya bana,dah!🐒
 
🤣🤣😂Aiseee🙌
 
Tunakwenda na upepo mkuu, wanawake wanapenda sana kusifiwa, hata wewe ukiamua kumsifia mmoja kuanzia mida hii hadi jioni lazima atakutunuku tu alichonacho kiroho safi
 
kwamba kutoka idadi ya wananchi milioni 9.9 mwaka 1960, mpaka sasa wananchi milioni 70+, kwamba pawepo na fikra zile zile, mahitaji yale yale au fursa zile zile gentleman?
Kama ongezeko la idadi ya watu huleta mbadiliko, ni kwa nini basi CCM hawataki kubadili Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977?
 
Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.

Zama hizi imekuwaje kwani?
Aisee hata mimi nashangaa sana. Enzi za Nyerere hakukuwa na marathon ya 334m, Tonetone, jointhechain wala mchango wa gari la mwenyekiti na mingine iliyokaa kipigaji. Zama hizi imekuwaje?
 
Back
Top Bottom