Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Mnanata kwa biti..hadi mnatia kinyaaZama za Nyerere na sasa mambo mengi hayakuwepo. Kila zama na kitabu chake Mkuu.
Kwanini Nyerere hakuondoka na katiba yake ya mwaka 1977 na mwenge wake wa uhuru aiche nchi yetu kwenye mikono salama?Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
Watoto wa Mel JK Nyerere wengi wetu tuliwajua baada ya kifo chake.Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
Hili ni swali la kumuuliza Wasira na mzee ButikuKwanini Nyerere hakuondoka na katiba yake ya mwaka 1977 na mwenge wake wa uhuru aiche nchi yetu kwenye mikono salama?
Watachanga hao hao mafisadiSamia Marathon changia laki 1
Nyenzo za kupashana habari ndiyo zimebadilika lakini msingi wa Taifa bado ni ule ule... UTU.Zama za Nyerere na sasa mambo mengi hayakuwepo. Kila zama na kitabu chake Mkuu.
Kwema mkuu??Kwanini Nyerere hakuondoka na katiba yake ya mwaka 1977 na mwenge wake wa uhuru aiche nchi yetu kwenye mikono salama?
Kwema sanaKwema mkuu??
Umeweka Bibi Taarabu Ikulu, na unauwa watu kumweka akili itoke wapi??Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
kwamba kutoka idadi ya wananchi milioni 9.9 mwaka 1960, mpaka sasa wananchi milioni 70+, kwamba pawepo na fikra zile zile, mahitaji yale yale au fursa zile zile gentleman?Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
π€£π€£πAiseeeπkwamba kutoka idadi ya wananchi milioni 9.9 mwaka 1960, mpaka sasa wananchi milioni 70+, kwamba pawepo na fikra zile zile, mahitaji yale yale au fursa zile zile gentleman?
hata wewe mwenyewe tu gentleman,
miaka mitatu tu iliyopita ulikua huna kipara kabisa,
ila sasa sijui kimetokea nini kichwani mwako, kipara kinag'aa kama bati jipya bana,dah!π
Kama ongezeko la idadi ya watu huleta mbadiliko, ni kwa nini basi CCM hawataki kubadili Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977?kwamba kutoka idadi ya wananchi milioni 9.9 mwaka 1960, mpaka sasa wananchi milioni 70+, kwamba pawepo na fikra zile zile, mahitaji yale yale au fursa zile zile gentleman?
Knockout ya MamaMwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
Usisahahu pia na goli la mama π€£π€£Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
Aisee hata mimi nashangaa sana. Enzi za Nyerere hakukuwa na marathon ya 334m, Tonetone, jointhechain wala mchango wa gari la mwenyekiti na mingine iliyokaa kipigaji. Zama hizi imekuwaje?Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?