MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Katiba mpya ipo kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM. Kuwa na subira CCM itawaletea katiba mpya kama mnavyotaka nyie CHADEMA.Kama ongezeko la idadi ya watu huleta mbadiliko, ni kwa nini basi CCM hawataki kubadili Katiba ya Tanzania ya mwaka 1977?
Vijana wa Nyerere wote ni aibu tupu Kagame, Museve, Jakaya wote waangalie Nyerere alitengeneza vijana wahuniKwanini Nyerere hakuondoka na katiba yake ya mwaka 1977 na mwenge wake wa uhuru aiche nchi yetu kwenye mikono salama?
Hamma mnazi unaozaa ndizi. Full stopVijana wa Nyerere wote ni aibu tupu Kagame, Museve, Jakaya wote waangalie Nyerere alitengeneza vijana wahuni
Sio swala la enzi au nyakati, Bali ni sifa za kijinga tu.Zama za Nyerere na sasa mambo mengi hayakuwepo. Kila zama na kitabu chake Mkuu.
Sikuwahi kusikia eti "goli la baba" 🤣Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
Hapa ndiyo mwisho wa kutumia akili zako? Hizo enzi za Nyerere CHADEMA ilikuwepo?Aisee hata mimi nashangaa sana. Enzi za Nyerere hakukuwa na marathon ya 334m, Tonetone, jointhechain wala mchango wa gari la mwenyekiti na mingine iliyokaa kipigaji. Zama hizi imekuwaje?
Na wewe ndo mwisho wa kutumia akili zako kuandika uzi wa kipumbavu?Hapa ndiyo mwisho wa kutumia akili zako? Hizo enzi za Nyerere CHADEMA ilikuwepo?
Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
Na wewe ndo mwisho wa kutumia akili zako kuandika uzi wa kipumbavu?
Hata TV enzi za Nyerere hazikuwepo.Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
Ukiandika jambo kwenye mtandao kama huu mpe Mungu utukufu kwa kuumba binadamu na siyo Ng'ombe.Na wewe ndo mwisho wa kutumia akili zako kuandika uzi wa kipumbavu?
Hii unamaanisha nini? Maana tunazungumzia Ikulu wewe unaleta mambo ya umeme mikoani.Hata TV enzi za Nyerere hazikuwepo.
Hata Umeme mikoani enzi za Nyerere haukuwepo
Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo. Kubali huu uzi wako ni takatakaUkiandika jambo kwenye mtandao kama huu mpe Mungu utukufu kwa kuumba binadamu na siyo Ng'ombe.
Usiandike jambo binadamu wenzako wakanza kushuku uwepo wako duniani kama binadamu.
Kila zama na zama zake, hata ikulu ya Butiama hatukuwahi kusikia!, uliwahi kumuona Mama Maria ana msafara, ana escort?. Nyerere aliwahi kuteua mkwe wake?, kama haitoshi na kuteua mtoto wake?. Nyerere alitunukiwa Ph.D za heshima kibao, uliwahi kusikia akiitwa Dr. Nyerere?. Enzi za Nyerere ni mambo ya kizamani, enzi hizi ni mambo ya kisasa!.Mwalimu Julius Nyerere alikaa miaka 23 Ikulu lakini hatukuwahi kusikia "Nyerere marathon" "Nyerere doctors" "ngumi za Nyerere" au makorokoro mengine.
Zama hizi imekuwaje kwani?
Kuna jambo la maana CCM huwa mnaliona la maana? CCM kazi yenu kushabikia mambo yasiyofaa Kwa watanzania.Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo. Kubali huu uzi wako ni takataka
Usasa unaotakiwa kupigwa msasa. Haya mambo kayaanzisha ngosha mwenzio.Kila zama na zama zake, hata ikulu ya Butiama hatukuwahi kusikia!, uliwahi kumuona Mama Maria ana msafara, ana escort?. Nyerere aliwahi kuteua mkwe wake?, kama haitoshi na kuteua mtoto wake?, enzi za Nyerere ni mambo ya kizamani, enzi hizi ni mambo ya kisasa!.
P