Ficha upumbavu wako, Watanzania wasasa siyo wajinga kama weweNa Rais Magufuli atajenga ndani ya muda mfupi. Rais Magufuli mwenye huruma na upendo tunamwamini
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ficha upumbavu wako, Watanzania wasasa siyo wajinga kama weweNa Rais Magufuli atajenga ndani ya muda mfupi. Rais Magufuli mwenye huruma na upendo tunamwamini
Baba kasema au......We umesikia wapi kuwa tunajenga kwa fedha zetu?
Ukiwa CCM akili zote zinaruka kabisa aisee...Reli ya Tazara sio SGR wewe.
Je, kunahujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?
Wachina kupitia Exim Benki walihaidi kutoa mkopo wa tilion 16 kumaliza mradi wote. Kwanini wasiutoe tu kwa pamoja huo mkopo ili wakandarasi wagawiwe vipande uishe kwa muda mfupi uanze kuingiza pesa turejeshe Deni lao kwa wakati.
Maufuli alisema Wachina wanatupiga kwa Trilioni 16 akawakataa. Kasi ya SGR kwa sasa ni ya mwendo wa konokono. Amini nakuambia, SGR itakapokwisha itatumia mara mbili zaidi ya hizo Trlioni 16 alizotaa Magufuli. Watch the SGR space.
Tatizo ni fund. Nyerere hakujenga TAZARA kwa pesa zetu. Mchina aligharamia mradi wote.
Sasa tunajenga SGR kwa pesa zetu. Tunadunduliza kidogo kidogo mpaka mradi ukamilike!
Umeme Upo achilia Mbali Huu Mpya wa Rufiji
Vyanzo vilivyopo vinavyo fanya kazi kwa Sasa vinatosha kuendesh huu Mradi
Sina chama lakini Meko anatukana tu wale wenye tume yao maana wamepigwa chenga ya mwili na walimuhakikishia mwamba atanasa kwenye mtego. Sa sijui itakuwaje! Patamu hapo!Na Rais Magufuli atajenga ndani ya muda mfupi. Rais Magufuli mwenye huruma na upendo tunamwamini
Hivi si walisema kufikia September 2020 tungekuwa tunapanda treni ya SGR kwenda Morogoro?Watu wanaimba mapambio lakini mwelekeo wa mradi hauonyeshi kama utakamilika kwa wakati na kwa bajeti. Tatizo naona mradi unaendeshwa kisiasa badala ya kitaalam.
Kipande cha Dar-Moro kingekamilika Novemba 2019 lakini mpaka sasa hakuna kinachoeleweka
Tatizo ni fund. Nyerere hakujenga TAZARA kwa pesa zetu. Mchina aligharamia mradi wote.
Sasa tunajenga SGR kwa pesa zetu. Tunadunduliza kidogo kidogo mpaka mradi ukamilike!
Ni nini na SGR ni niniReli ya Tazara sio SGR wewe.
Bia yetu naona mmeongeza mwanachama mwingine hapo Lumumba
huyu kama na "Rais Magufuli mwenye huruma na upendo tunamwamini"
Hili nalo ndio limsukule jingineHawa viumbe ndiyo maana wanaitwa misukule. Yaani kila uzi anaandika kitu kile kile. Akishapewa tu jukumu lake pale Lumumba, basi anahakikisha analitekeleza kwa utaratibu ule ule! Hakuna hata kujiongeza.
Huyu ni Bia Yetu aliyekuja kwa ID mpya.
ninini na sgr ninini
Swali fikirishi Sana hiliJe, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?
Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana.
Ilijengwa kwa miaka tokea '70 mpaka '75 tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa.
Kilomita zaidi ya 1800
Kwa Kasi ya mradi wa Sasa inaweza kuchukua miaka 25 Hadi 30 reli kufika kigoma.
Ni vyema Miradi ya serikali iwe na time limit sio mradi unaanza hujulikani utakamilika lini.
Wachina kupitia Exim Benki walihaidi kutoa mkopo wa tilion 16 kumaliza mradi wote. Kwanini wasiutoe tu kwa pamoja huo mkopo ili wakandarasi wagawiwe vipande uishe kwa muda mfupi uanze kuingiza pesa turejeshe Deni lao kwa wakati.
Atakwambia ni treni ya umeme.SGR kwa uelewa wako ni nini?
Nani kasema tunajenga kwa fedha zetu?Tatizo ni fund. Nyerere hakujenga TAZARA kwa pesa zetu. Mchina aligharamia mradi wote.
Sasa tunajenga SGR kwa pesa zetu. Tunadunduliza kidogo kidogo mpaka mradi ukamilike!