Hivi si walisema kufikia September 2020 tungekuwa tunapanda treni ya SGR kwenda Morogoro?
Achana na watu wenye yale macho!
Diet yao iliruhusu wao kula mazagazaga yote ya porini, n'ge, panzi, nyoka, kobe sijui nguchiro n.k π
Mturuki siyo mporipori, nafikiri ishu ni kuishi porini, hawa wanazurula sana mitaani wakitafuta vipochi manyoya.
Everyday is Saturday................................ π
Wanashinda Sana terminal pub hao jamaaAchana na watu wenye yale macho!
Diet yao iliruhusu wao kula mazagazaga yote ya porini, n'ge, panzi, nyoka, kobe sijui nguchiro n.k π
Mturuki siyo mporipori, nafikiri ishu ni kuishi porini, hawa wanazurula sana mitaani wakitafuta vipochi manyoya.
Everyday is Saturday................................ π
Utadhani hawajawahi kuona live band! Chaa!π wana genye sana na dada zetu!Wanashinda Sana terminal pub hao jamaa
Waturuki wale wala bata sana,wanapenda k pia na drugsUtadhani hawajawahi kuona live band! Chaa!π wana genye sana na dada zetu!
Everyday is Saturday................................ π
Ilichukua muda gani mbona husemi? Taja ilianza kujengwa lini na ilimalizika lini?
π π π πUtadhani hawajawahi kuona live band! Chaa!π wana genye sana na dada zetu!
Everyday is Saturday................................ π
..Wikipedia wanadai wakati ujenzi umepamba moto walikuwepo Wachina 13500 wakifanya kazi ktk mradi.
..Pia GHARAMA za ujenzi wa Tazara ambayo urefu wake ni 1860 km kwa viwango vya leo ni usd 2.67 billion.
Takwimu za kibeberu, hawakuwa wachina pekee, walikuwepo wachina na vibarua wengi wenyeji...Wikipedia wanadai wakati ujenzi umepamba moto walikuwepo Wachina 13500 wakifanya kazi ktk mradi.
..Pia GHARAMA za ujenzi wa Tazara ambayo urefu wake ni 1860 km kwa viwango vya leo ni usd 2.67 billion.
Takwimu za kibeberu, hawakuwa wachina pekee, walikuwepo wachina na vibarua wengi wenyeji.
Sasa hawa waturuki wanashindwaje nao kuongeza idadi, maana kama wapo wengi team yote na vibarua ni 5,000...200 kilometre miaka mi4, hazitandikwa taruma...
Inakumbusha zile hesabu za watu 10 hulima heka 7 kwa siku 3, je, watu watano watalima heka 5 kwa siku ngapi? π
Everyday is Saturday................................π
Barabara ilijengwa na Marekani kama nakumbuka vizuri kampuni ilijulikana kama NERO T Construction company.
Pesa ndio issue,kwanza Magufuli alitaka kujenga Dar to Moro tu kwa pesa zetu wenyewe,halikuwa tatizo,lakini kabla hajaanza akabadirisha mawazo kutoka diesel locomotive kuwa High speed electric drive kuitofautisha na SGR ya Kenya.Maufuli alisema Wachina wanatupiga kwa Trilioni 16 akawakataa. Kasi ya SGR kwa sasa ni ya mwendo wa konokono. Amini nakuambia, SGR itakapokwisha itatumia mara mbili zaidi ya hizo Trlioni 16 alizotaa Magufuli. Watch the SGR space.
ahahahaCHADEMA mmepanga lile banda la kufugia kuku mnalotumia kama makao makuu kwa miaka mingapi?
Sikia hili kopo la kijani yani wamepumbazwa hadi akiri zimehama haya sasa twambie Tazara ni gouge ipi Naona wakiimbiwa awamu ya tana imejenga SGR kwa mara ya kwanza wanadhani nikitu kipya kwa taarifa yako SGR ipo Tanzania kuanzia 1971!! Reli ya kati ndiyo haikuwa na SGR , Serikali ya Awamu ya Nne ilianza mradi wa ujenzi wa SGR nakupeleka mataruma kila mkoa!Sisi tunaofanya kazi Raily tunajua hivyo hamna lakutwambia!Reli ya Tazara sio SGR wewe.
Kwani zile mikopo zilizotoka StanChart sijui Stanbic za kujengea reli zimepelekwa wapi?? Reli imekopewa mpaka huko vipande vya Manyoni Itigi,Kwani sasa hivi tunajenga kwa fedha zetu za ndani au mkopo? Maana mpaka sasa tumeshakopa 3.1t. Pitia vyanzo vyako vya habari tena.
Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?
Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana.
Ilijengwa kwa miaka tokea '70 mpaka '75 tu. Yenye taaluma za zege Kama hii ya kisasa.
Kilomita zaidi ya 1800
Kwa Kasi ya mradi wa Sasa inaweza kuchukua miaka 25 Hadi 30 reli kufika kigoma.
Ni vyema Miradi ya serikali iwe na time limit sio mradi unaanza hujulikani utakamilika lini.
Wachina kupitia Exim Benki walihaidi kutoa mkopo wa tilion 16 kumaliza mradi wote. Kwanini wasiutoe tu kwa pamoja huo mkopo ili wakandarasi wagawiwe vipande uishe kwa muda mfupi uanze kuingiza pesa turejeshe Deni lao kwa wakati.
Barabara ilijengwa na Marekani kama nakumbuka vizuri kampuni ilijulikana kama NERO T Construction company.
Anakubalika na wauza mboga Yani, na nyanya chungu, wapika kimpumu na togwa, ,Mimi sina chama ila ila Rais Magufuli anakubalika sana kaka yangu.