Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Wewe changia tuSisi wengine tukichangia hapa uzi utafungwa manake pronyerereism hawataki tumseme malaika wao
Nasikia kuna kigango kilipigania Nyerere atawazwe kuwa MtakatifuNyerere ndio source ya matatizo ya Tz Kwa asilimia 70
Wenzake si walikula 10 kila mmoja.Yeye kakaa Ikulu miaka 25 na kaweka mifumo mibovu sawa sikatai..Tangu aondoke Ikulu ni miaka 40 sasa.. kama kwa miaka 40 tumeshindwa kuondoa mifumo iliyowekwa kwa miaka 25 basi sisi ni WAPUMBAVU MARA 1000 Na hatupaswi kumlaumu Nyerere tujilaumu sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ujinga mkubwa kwetu ni kule kuwa radiclelized na mtazamo wake kiasi kwamba kila kiongozi anataka afanane naye mtazamo.Yeye kakaa Ikulu miaka 25 na kaweka mifumo mibovu sawa sikatai..Tangu aondoke Ikulu ni miaka 40 sasa.. kama kwa miaka 40 tumeshindwa kuondoa mifumo iliyowekwa kwa miaka 25 basi sisi ni WAPUMBAVU MARA 1000 Na hatupaswi kumlaumu Nyerere tujilaumu sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchakato wa katiba mpya hata wataalam wanazuoni walionekana kuwa wazuri na walitikisa bunge la katiba ndio wamekuja kuwa worse than they were.Wahenga husema siyo vizuri kumsema marehemu. Tuanzie pale tulipoishia! Kati ya mwaka 2010 - 2013 tulifanikiwa kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya! Ndani ya ile Rasimu ya Katiba iliyosimamiwa na Tume ya Jaji Warioba, kulikuwa kuna mambo mengi tu mazuri;
likiwemo la kupunguza mamlaka ya Rais katika mambo mbalimbali, kuondoa vyeo kama vya Wakuu wa Mikoa na Wilaya, kupunguza idadi ya Wabunge na watendaji wengine wa Serikali, nk
Sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi! Rais wa wakati ule (JK) aliamua kujaza wanasiasa wengi na wataalamu wachache kwenye lile Bunge la Katiba. Baada ya hapo tunakumbuka mvutano uliokuja kujitokeza mwanzoni kabisa mwa mjadala kuhusu mfumo wa serikali, aidha uwe wa Serikali mbili kama zamani au uwe Serikali Tatu kama Rasimu ilivyopendekeza.
Hivyo basi kumlaumu Mwalimu Nyerere wakati huu ni kutafuta tu sababu nyepesi (ingawa hawezi kukwepa lawama hata hivyo) maana nafasi muhimu ya kurekebisha yale madudu ya Katiba ya mwaka 1977 tuliipata, ila mwisho wa siku JK, Ccm na Ukawa walitusababishia tuikose Katiba Mpya ya Wananchi kwa sababu zao tu binafsi.
Kuna watu wanamuona kama malaika kumbe nae ni mkosefu tu. Ukianzia ubinafsi. Akaja kuua sana watu kwenye kuanzisha vijiji vya ujamaa. Simkubali kbs 1992 aliposhindwa kuwepo na katiba huru ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa alichofanya ni kuingiza mapandikizi ndani ya mfumo. Alishindwa kuleta katiba iliyotakiwa kwa hofu ya kutendewa na kupewa haki yake kwa mabaya aliyofanya akiwa madarakani.Nyerere ndio source ya matatizo ya Tz Kwa asilimia 70
''Comrades ukiona post yoyote inaponda sisiem,meko,au mfumo tunaivamia ili mada isiende wanavyotaka wao" Bia Yetu (ccm WhatsApp group)Tanzania Hakuna Mfumo mbovu, Tanzania inaongoza kwa mfumo bora Africa
Ndio maana mtu yeyote mwenye sifa anaweza kuwa Rais
Nenda kenya Nchi inatawaliwa na ukoo mmoja