gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
Hujaelewa hoja ya mleta mada. Ungemuelewa ana logic sana kwenye uzi wake.Mwana alishakufa miaka 20 imepita bado mnamlaumu mpaka kwenye ugonjwa wa leo. Tumeshindwa kukabili matatizo yetu tunaita walokufa sasa.
Ndiyo alifanya makosa. Hajawazuia ninyi kufanya sahihi sasa.
Sisi wenyewe tunaendelea kuwaruhusu viongozi kuwa na hatimiliki ya maisha yetu halafu tunatafuta wa kusingizia.
Give him a break.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn tuanzie hapa katiba mpya iliyokuwa ndio mwa40 wa kupunguza madaraka kwa rais ndio hiyo imepigwa chini. Unadhani sasa
Kama raia tufanye nini? Wabunge wetu ndio hao kila wakijitahd kutusemea wanakutana na vigingi. Na chama tawala kimekua kinaangalia maslahi ya matumbo yao tuu..