Nyerere aliiroga nchi hii zindiko lilifanyikia Bagamoyo akishirikiana na Mshirikina mkuu wa tanganyika wakati huo akiitwa Forojo Ganze na baadhi ya mashekhe wa Bagamoyo,waliingia mlango wakwendea kuzimu uliokuwa Bagamoyo kipindi hicho na baada ya siku 10 huko chini walitoka na maagizo ambayo wanayatekeleza mpaka leo hii ,
Maagizo mengine ni siri siwezi yabandika hapa lakini agizo linalojulikana ni kutengeneza Mwenge ambao uliitwa mwenge wa uhuru na kwa mara ya kwanza ukawekwe pale juu ya kilele cha kilimanjaro then baada ya hapo uwe unazungushwa nchi nzima kila mwaka lengo kuu ni kuwapumbaza watu wawe kama mazezeta hv wasiweze kunyanyuka dhidi ya mamlaka husika hata ikikosea ndivyo tulivyo watanzania na huu ndio utofauti wetu na mataifa mengine yanayotuzunguka watanzania nikama mazezeta flani hivi na tunaoogopa viongozi ndiomaana hapa tanzania kiongozi anaweza ropoka chochote na watu wakatii lakini sio Kenya,Uganda,malawi,congo na kwingine,ndiomaana hata hao wanaoitwa wasomi wetu wakishaga ingia kile chama wanapumbazwa wanakuwa mazezeta tu anakuwa hana utofauti na wa form 4 au darasa la saba!
Baadhi ya mazindiko mengine yalifanyikia mkoani Dodoma na Lindi haya siwezi yabandika hapa