Nyerere: Tunapoongea kuhusu Tanzania na uhuru wake

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa kofia aina hiyo muda mwingi. Pia haishangazi kuona Mwalimu Nyerere kuamua Kiswahili kiwe lugha ya taifa la Tanzania.

Watu waliopata elimu mapema walichangia kwa kiasi kikubwa katika harakati za uhuru wa nchi, hivyo tunapaswa kuwaheshimu tunapozungumza kuhusu historia ya Tanzania na safari yake ya kujipatia uhuru.

hebu ona hapa

View attachment 3452459
Thanks for this
P
 
Back
Top Bottom