nuruyamnyonge
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 4,408
- 2,196
Teh teh teh!!! msome tena hapa chini kiduchu.
Hakuna aliyekataa kuwa alikuwa siyo msomi hawa wazee walikuwa waungwana sana pamoja nyie kuwatukana kuwakejeli lakini angalia alivyokuwa wanaishi na hawa wazee, wala hawa wazee walikuwa hawaitaji sifa walikuwa wanaishi nae kama kijana wao tu, haya maneno Nyerere kayesama mwaka 1985 wakati wengi hawa wazee walikuwa wameishatangulia mbele ya haki, sasa hizi falsafa unazotuambia alikuwa anamwabia nani.
Hili la Kikwete kuifanya lugha ya Afrika silifahamu!!,,najua kiswahili kimeanza kukubalika Afrika lakini siioni role ya Kikwete katika kufanikisha hilo.
Tatizo lako Ritz unataka ushinde kila kitu hata kwa kuchakachua ni jadi yako sikulaamu ni msimamo wenu haya mkuu najiandaa kuingia kwenye malumbano ya hoja.
Ulitaka atuachie nini mkuu? Hivi wewe ukiwa na watoto ukawalea kwa maadili mema lakini kwa wendawazimu wao tu wewe ulipoondoka wa kaanza kuwa wehu, unataka jamii ikihukumu wewe baba Yao kwa makosa yawatio wako?
Ni kweli Kiswahili ni lugha ya PWANI ikiwa ni mchanganyiko wa kibantu na kiarabu. Ni kweli Nyerere alikuja mjini Dar akiwakuta watu wa PWANI wakizungumza kiswahili lakini mchango wa Nyerere kukipaisha Kiswahili haupingiki hata kidogo.
Nyerere baada ya kuchukua nchi akatangaza Kiswahili iwe lugha rasmi ya nchi, hata sisi wa vijijini tukalazimishwa kutumia lugha rasmi ya Kiswahili, tulishaandika vitabu kwa lugha zetu lakini Nyerere akatupiga stop, ndio maana anabidi apewe sifa kwa kuwafanya mamilioni ya watu waishio mbali na PWANI ya Tanzania kuzungumza Kiswahili. Asilingelifanya hili labda Kiswahili kisingekuwa maarufu kama kilivyo leo hii
Rekebisha, Nyerere alikuja Dar es salaam (Mzizima) akitokea Edinburg University sio Butiama.
mkuu role ya kikwete huwezi kuiona maana hamtaki kusikia jema lolote la kikwete. maana mpo tayari hata lami zilizojengwa na kikwete mzibomoe kisa tu ya chuki zenu kwa jamaa.Hili la Kikwete kuifanya lugha ya Afrika silifahamu!!,,najua kiswahili kimeanza kukubalika Afrika lakini siioni role ya Kikwete katika kufanikisha hilo.
mkuu kweli unahasira na ccm. ninahasira na ccm ila siwezi kuacha kukubali kuwa kikwete katusongeza mbali sana kutoka alipotukuta katika nyanja mbali2 za maendeleo.kabla hajafa aliuona upuuzi wa ccm lakini hakufanya lolote , japo alikuwa na uwezo hata wa kuifutilia mbali .
mkuu role ya kikwete huwezi kuiona maana hamtaki kusikia jema lolote la kikwete. maana mpo tayari hata lami zilizojengwa na kikwete mzibomoe kisa tu ya chuki zenu kwa jamaa.
Jisomee: Viongozi APRM wametambua lulu ya Kiswahili, tukidumishe - Tunu Yetu - mwananchi.co.tz
Kwa ufupi
Baada ya Rais Kikwete kuwasilisha ripoti yake, alipongezwa na viongozi mbalimbali wa Afrika kuhusu utawala bora na umoja wa kitaifa uliopo, huku ikitajwa kwamba lugha ya Kiswahili ni miongoni mwa kichocheo kikubwa cha amani na utulivu, ambapo viongozi wengine wa Afrika walisisitiza kuiga kutoka kwa Tanzania.
Ninaposema katokea Butiama namaanisha alipozaliwa, chukuwa darsa kiduchu kutoka kwa Ritz
Nyerere, kwa mara ya kwanza kufika Dar ni mwaka 1952 alikuja kwenye mkutano wa TAA kama mjumbe kutokea Tabora.
Na mtu aliyempokea ni Aziz Dossa.
Mwaka 1954 ndiyo alikuja rasmi Dar na kupokelewa na Abdulwahid Sykes pamoja na wazee wa Dar.
Sasa role ya kikwete ipo wapi hapo? Ni kweli kiswahili nin kichocheo kikubwa cha utulivu na amani hapa kwetu, na kwa hilo tutamkumbuka nyerere alieona mbali. Wewe unataka kutuonesha kwamba kiswahili kutumika tz imekuja automatic, kwa taarifa yako tu ni kwamba kiswahili kilikuwa kinatumika mwambao wote wa afrika mashariki ikiwa ni mpaka Mombasa, Lamu, mogadishu etc,,sasa mbona hizo nchi zingine hakikuenea mpaka bara??
Jisomee: Viongozi APRM wametambua lulu ya Kiswahili, tukidumishe - Tunu Yetu - mwananchi.co.tz
Kwa ufupi
Baada ya Rais Kikwete kuwasilisha ripoti yake, alipongezwa na viongozi mbalimbali wa Afrika kuhusu utawala bora na umoja wa kitaifa uliopo, huku ikitajwa kwamba lugha ya Kiswahili ni miongoni mwa kichocheo kikubwa cha amani na utulivu, ambapo viongozi wengine wa Afrika walisisitiza kuiga kutoka kwa Tanzania.
mkuu kweli unahasira na ccm. ninahasira na ccm ila siwezi kuacha kukubali kuwa kikwete katusongeza mbali sana kutoka alipotukuta katika nyanja mbali2 za maendeleo.
aliyoyafanya JK hata wewe ungeweza kuyafanya , kwani WEWE HUWEZI KUTEUA MAWAZIRI HATA KAMA MARA 5 KWA MWAKA AU KUKAGUA GWARIDE NA KUPOKEA HATI ZA MABALOZI WAPYA ?
Huwa hacheki ila "akenua" Kikwete ana "smiling face" sura yake iko hivyo isipokuwa anapokasilika.Na kuhani misiba huku unacheka!
Upende usipende mwl.Nyerere alitoa mchango mkubwa sana kutuunganisha kwa kutumia lugha ya kiswahili.
mkuu role ya kikwete huwezi kuiona maana hamtaki kusikia jema lolote la kikwete. maana mpo tayari hata lami zilizojengwa na kikwete mzibomoe kisa tu ya chuki zenu kwa jamaa.