Nyerere Vs Zanzibar

Nyerere Vs Zanzibar

Zanzibar wanazaliana kama mashindano
Wewe unatokea wapi? Ikiwa unaona Zanzibar wanazaliana kama mashindano, angalia takwimu za Ushirombo. Hii iko Tanganyika, nadhani Mkoa wa Geita, Wilaya ya Bukombe. Nadhani hapa ndo kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya, halafu uone. Mkuu tambua tu kwamba wengine tunajua.
 
Leo ni kumbukumbu ya kifo cha Hayati Mwl Dr Baba wa Taifa Nyerere. Hapa Unguja si maarufu Sana Kama huko bara alitupora nchi yetu Zanzibar kwa mwamvuli wa Muungano ( usionufaisha Zanzibar), pia alimpoka madaraka Aboud Jumbe bila sababu ya msingi
Mmh
 
Back
Top Bottom