Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,369
- 1,775
Wewe unatokea wapi? Ikiwa unaona Zanzibar wanazaliana kama mashindano, angalia takwimu za Ushirombo. Hii iko Tanganyika, nadhani Mkoa wa Geita, Wilaya ya Bukombe. Nadhani hapa ndo kwenye ofisi za Halmashauri ya Wilaya, halafu uone. Mkuu tambua tu kwamba wengine tunajua.Zanzibar wanazaliana kama mashindano