Nyerere: Watanzania wasipoyapata mabadiliko ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM

Nyerere: Watanzania wasipoyapata mabadiliko ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM

MACCM wanalijua sana hilo ila wanapenda kujitia hamnazo, "hatutakabidhi madaraka kwa wahuni" sasa kama mlijua kwamba ni wahuni iweje Tume yenu ya uchaguzi iwaruhusu wahuni washiriki kwenye uchaguzi!?
 
watanzania wanataka mabadiliko wasipoyapata ndani ya ccm yatapatikana nje ya ccm hyo ni kauli ya E lowasa..ccm mpooooo? mwka huu mzee kawakalia pabaya usiku mchana kutwa naombea mkate jina lake ili wana ukawa waingie magogoni saa 4asubuhi team lowasa komaeni tu maanake tumechoka.tumaini la watanzania ni ukawa tu ova
 
Kauli hii imerudiwa na Mgombea URAIS wa CCM, hii ina maana gani??
 
Kauli hii imerudiwa na Mgombea URAIS wa CCM, hii ina maana gani kwa wana CCM?
 
Alisema mambo mengi lakini aliwasisitizia wajumbe wa NEC wakati ule kuwa Watanzania wanataka mabadiliko na kwamba wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM.
Ni ukweli uliotukuka,Unabii wa mwalimu unaenda kutimia Octoba 25
 
Mabadiliko huletwa na watu waadilifu. Sio Nyerere aliyemkataa huyo fisadi?
 
Niongezee pia chama kichague mtu anae kubalika na watu nasio mchague mtu mnae mpenda nyie CC,maana huyo mnae mchagua watu ndio wataenda mpitisha sasa kama mtachagua asie pendwa na wananchi itakula kwenyuuuuuuu
 
Mabadiliko aliyokuwa anayasema Nyerere siyo haya ya KIBAKA LOWASSA.
 
Alisema mambo mengi lakini aliwasisitizia wajumbe wa NEC wakati ule kuwa Watanzania wanataka mabadiliko na kwamba wasipoyapata ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM.
Ni ukweli uliotukuka,Unabii wa mwalimu unaenda kutimia Octoba 25

Hata shetani alinukuu vitabu vitakatifu. Kumbe tuelewe ni namna ipi ya kutumia sio ovyo ovyo
 
Niongezee pia chama kichague mtu anae kubalika na watu nasio mchague mtu mnae mpenda nyie CC,maana huyo mnae mchagua watu ndio wataenda mpitisha sasa kama mtachagua asie pendwa na wananchi itakula kwenyuuuuuuu
Mtu anayekubalika na watu, siyo mtu anayenunua watu.
 
Mabadiliko hayaletwi na majambazi kama Lowasa.
 
Mabadiliko huletwa na watu waadilifu. Sio Nyerere aliyemkataa huyo fisadi?

mabadiliko yanaitaji taasisi imara cdm

_84518320_obamakenya.jpg


[TD="bgcolor: #ffffff"] Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions’: Obama

[/TD]

[TD="bgcolor: #ffffff"] ACCRA, Saturday, (AFP) - US President Barack Obama on Saturday condemned tyrants who enrich themselves and urged Africans to demand stronger governments as the son of an African immigrant made a landmark trip to the continent
[/TD]
 
Usimhukumu mtu jamani kwa usilolijua tumuache msimalize manenoo
 
Mabadiliko hayaletwi na majambazi kama Lowasa.
 
NIMEANDIKA MENGI HAKUNA KADA WA ccm AU MPENDA ccM ALIYENIJIBU HOJA ZANGU,SASA LEO NAMALIZIA KWA KUWEKA UKWELI NA ANAYEBISHA AJE HAPA KWA HOJA TUONGEE...MLIMSEMA LOWASA NI FISADI SAWA,MCHAFU SAWA NA MKASEMA MLIMKATA ASIGOMBEE,ILA THE TRUTH IS AMEAMUA KUTOKA ccm NA HAJAFUKUZWA..MMEMTAJA MPAKA HAYATI MWL NYERERE KUA ALISEMA LOWASA NI MWIZI,HAFAI NA KUTUONYESHA KWA MAVIDEO,SAWA ILA MWL MPAKA ANAKUFA HAJAWAI KUTOA NENO LA KUSEMA LOWASA ONDOKA CCM,ALICHOFANYA NI KUWAPA HAWA MKAPA AGOMBEE,AKAMKATAA KIKWETE NA LOWASA,MWL ALIWAI KUTAMKA CCM INA HAZINA YA VIJANA NAO NI MKAPA,KIKWETE NA LOWASA,MWL AKAMKATAA KIKWETE KWA HILA KWA MAANA ALIKUA NA MAPENZI NA MKAPA. MKAPA AKATAWALA KWA KUJITAHIDI,AKAJA KIKWETE AKAPITA NA KUTAWALA,HAO NI MIONGONI MWA VIJANA 2 AMBAO NYERERE ALIWASIFIA,KUMBUKA ALIMKATAA KIKWETE KABLA HAJAJA MKATAA LOWASA,NYERERE AKAJA AKASEMA KAULI MOJA AMBAYO CCM HAWATAKI KUISIKIA,ALISEMA CCM SIO BABA YAKO AU MAMA YAKO,NA WATU WANATAKA MAENDELEO WASIPOYAPATA NDANI YA CCM WATAYAPATA NJE YA CCM....LEO HUU USEMI UNA MAANA NA WALE VIJANA WATATU ALIOWAONA WANAFAA KUA VIONGOZI WAWILI WAMESHAKAA KWENYE KITI CHAKE KWA CHAMA CHAKE,MABADILIKO HAYAPO,LEO KIJANA MMOJA ALIYEBAKIA AMBAO CCM WANAHAHA KUMZUIA NDIO ANAGOMBEA URAIS NJE YA CCM,JAMAANI TUACHE KUPINGANA UKWELI,HAWA WATABIRI NA CHAGUO LA MHASISI WA HILI TAIFA NDIO WALITABIRIWA WATALETA TANZANIA MPYA,WAWILI WAMEFELI SASA NI ZAMU YA WA MWISHO.....TUKUMBUKE,WATANZANIA WANATAKA MAENDELEO,WASIPOYAPATA NADI YA CCM WATAYAPATA NJE YA CCM.....UTABIRI WA MWL UNATIMIA MSIPOTEZE KURA NA KUTOONA UKWELI...km alikua fisadi,km alikua mwizi ni ndani ya ccm,nje ya ccm ni msafi,mfumo wa ccm ulimjengea fisadi....mkapa anajua,kikwete anajua na ccm wanajua,jiulizeni kwa nn kingunge alimnadi..kwa nn ccm wanamuogopa na kwa nn watu wote wanamuongelea yeye,YESU alitabiriwa km mkombozi,ALITUKANWA SANA,ALIPIGWA SANA,ALIITWA MWIZI,ALIITWA ANAHANGAIKA NA MALAYA NA AKAFA KIFO CHA AIBU,LOWASA AMEFANYIWA HIVYO NA CCM MATESO,MATUSI NA KUULIWA KISIASA,naam wakati wa ukombozi ni sasa,watanzania ccm sio baba yetu wala mama yetu,IMETOSHA SASA.
 
Nyerere alisema vlevle 'kiongozi msafi hawezi kutoka nje ya ccm'
 
Ukawa tupo vizuri hivi lowasa anasubiri nini asapishwe kabisa kuwa rais
 
Back
Top Bottom