Nyerere: Watanzania wasipoyapata mabadiliko ndani ya CCM, watayatafuta nje ya CCM


Nasemaje (huku nimebana Pua)....TUTAMCHAGUA HIVYO HIVYO.
 
Nyerere alisema vlevle 'kiongozi msafi hawezi kutoka nje ya ccm'
Ewaaaa..... Na Lowasa hakutoka nje ya CCM. kwakuwa alikuwa ndani ya CCM

Chagua Lowassa, Chagua Ukawa, Chagua mabadiliko.
 
Narudia tena wekeni hata Video akiwa anaiba hizo hela bado haitanirudisha nyuma kumpa Lowasa kura yangu hata iweje.
 
Ndio maana ninawashauri Mara kwa mara hawa viongozi vijana kwa wazee ndani ya ccm wapandapo jukwaani kuacha matusi ya moja kwa moja kwa Lowasa. Sio jambo zuri kwa mtu unayetegemea siasa kama kazi yako ya kuishi kujikuta Rais anakufahamu kabisa kuwa ulikuwa unamtukana matusi ya nguoni au kumdhalilisha hadharani.
 
ukawa wana kelele kene mitandao .wenzenu washaacha siasa za mitandaoni mnabaki wenyewe humu jitambueni aseee
 

Wataongea naye akiwa palace ndio wataamini hakuna haja ya kuwalazimisha kudandia safina.Waaache wapotee.
 
Mtu kubadilika ni sekunde hasa kama anacho kikusudia na nia yake ni thabiti.
 
Mkuu hakuna marefu yasiyo na ncha na hivyo hivyo ujue Nape ni binadamu dhaifu pia.

Anaweza akabadilika kutokana na upepo unavyo vuma ndani ya chama.
 
Asante sana mkuu huu ujumbe wako utawagusa wengi sana hata kwa wale walioshupaza shingo zao.
 
Alyewakaa Nyerere wakati wa uhai wake ndo wameshika Tanzania.
Awe mtu anayechukia Rushwa kutoka Moyoni mwake. Hii inawashinda wengi sana ndani ya CCM.
Ccm ilikufa na baba wa taifa letu mwl JK Nyerere.
 
Unampongeza nani sasa hapo mleta uzi au muongeaji wa hayo maneno?
 
Wanajivunia mabavu waliyo nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…