ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
sasa wanaosema mbowe no jabali LA siasa AfricaSio ndio hapa tunamnanga Mbowe kila siku kuwa alichemsha na hatumuungi mkono kuendelea kuwa mwenyekiti kwa kuokota hizo takataka toka ccm.
sasa wanaosema mbowe no jabali LA siasa Africa
Alishindwa kuoña hili jambo la kuruhusu mamluki kuja kuleta mtafaruku katika chama
Na akawapokea Kama malaika
Leo Hii wanaenda kukiharibu chama
Unauwezo wa kumuuliza mwenyechama chake swali la kipumbavu kama hilo? Unajipenda kweli? Halafu kwa taarifa yako, uchaguzi ujao Mbowe atafanya usajili mwingine mkubwa, atalamba mkwanja na kisha atakayekuwa amesajiliwa atapewa nafasi ya kugombea uraisi wa JMT kupitia CDM. Hakuna atakayehoji.Na msipoifuta cdm, hiyo ccm chama cha wazee mtapata tabu sana, hapo ilipo cdm ndio inazidi kunoga. Piga takataka zote toka ccm chini, pumbavu kabisa. Na huyo Mbowe atatuambia hizi takataka toka ccm alizipokea za nini.
Wewe Nyumbu hizo guts za kumuhoji DJ unatoa wapi??Na msipoifuta cdm, hiyo ccm chama cha wazee mtapata tabu sana, hapo ilipo cdm ndio inazidi kunoga. Piga takataka zote toka ccm chini, pumbavu kabisa. Na huyo Mbowe atatuambia hizi takataka toka ccm alizipokea za nini.
Unauwezo wa kumuuliza mwenyechama chake swali la kipumbavu kama hilo? Unajipenda kweli? Halafu kwa taarifa yako, uchaguzi ujao Mbowe atafanya usajili mwingine mkubwa, atalamba mkwanja na kisha atakayekuwa amesajiliwa atapewa nafasi ya kugombea uraisi wa JMT kupitia CDM. Hakuna atakayehoji.
Wewe Nyumbu hizo guts za kumuhoji DJ unatoa wapi??
Umeshauza lile shamba la urithi??hahahahaa Nyumbu bhanaKwani ww mama Jesca unanionaje kwa mfano?