Nyie CCM sumu mnaonja kwa kulamba?

Nyie CCM sumu mnaonja kwa kulamba?

Sio ndio hapa tunamnanga Mbowe kila siku kuwa alichemsha na hatumuungi mkono kuendelea kuwa mwenyekiti kwa kuokota hizo takataka toka ccm.
sasa wanaosema mbowe no jabali LA siasa Africa
Alishindwa kuoña hili jambo la kuruhusu mamluki kuja kuleta mtafaruku katika chama
Na akawapokea Kama malaika
Leo Hii wanaenda kukiharibu chama
 
sasa wanaosema mbowe no jabali LA siasa Africa
Alishindwa kuoña hili jambo la kuruhusu mamluki kuja kuleta mtafaruku katika chama
Na akawapokea Kama malaika
Leo Hii wanaenda kukiharibu chama

Kila mtu ana maoni yake na ni haki yake. Ila kwangu muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wa cdm ulishapita. Sikatai uwezo wake huko nyuma kwani alikuwa jabali hasa, na hapa alipofikisha cdm nimeridhika kabisa, lakini wakati ukuta akae pembeni.
 
Na msipoifuta cdm, hiyo ccm chama cha wazee mtapata tabu sana, hapo ilipo cdm ndio inazidi kunoga. Piga takataka zote toka ccm chini, pumbavu kabisa. Na huyo Mbowe atatuambia hizi takataka toka ccm alizipokea za nini.
Unauwezo wa kumuuliza mwenyechama chake swali la kipumbavu kama hilo? Unajipenda kweli? Halafu kwa taarifa yako, uchaguzi ujao Mbowe atafanya usajili mwingine mkubwa, atalamba mkwanja na kisha atakayekuwa amesajiliwa atapewa nafasi ya kugombea uraisi wa JMT kupitia CDM. Hakuna atakayehoji.
 
Wewe Nyumbu hizo guts za kumuhoji DJ unatoa wapi??
 
Unauwezo wa kumuuliza mwenyechama chake swali la kipumbavu kama hilo? Unajipenda kweli? Halafu kwa taarifa yako, uchaguzi ujao Mbowe atafanya usajili mwingine mkubwa, atalamba mkwanja na kisha atakayekuwa amesajiliwa atapewa nafasi ya kugombea uraisi wa JMT kupitia CDM. Hakuna atakayehoji.

Power yote ya cdm Mbowe anapata kwetu, kuhoji tunahoji sana na hatuna hofu yoyote na yeye, kama tunamuhoji jiwe pamoja na kuwa na kundi la watu wasiojulikana ndio itakuwa Mbowe? Alambe hata leo huo mkwanjwa, lakini ile bahati ya kulamba mkwanja wa Lowassa kisha watu kumsupport hatakaa aipate tena kwa kurudia kosa kama lile. Mfano mrahisi juzi si alienda kujiandikisha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, kisha akashawishi watu kwenda kujiandikisha, je alimpata nani? Safari hii atafuata tunachotaka sisi wananchi sio anachotaka yeye na genge lake.
 
Back
Top Bottom