ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
sasa wanaosema mbowe no jabali LA siasa AfricaSio ndio hapa tunamnanga Mbowe kila siku kuwa alichemsha na hatumuungi mkono kuendelea kuwa mwenyekiti kwa kuokota hizo takataka toka ccm.
Alishindwa kuoña hili jambo la kuruhusu mamluki kuja kuleta mtafaruku katika chama
Na akawapokea Kama malaika
Leo Hii wanaenda kukiharibu chama