Ma Mshuza
JF-Expert Member
- Feb 26, 2019
- 251
- 1,255
Kuna wakaka wastaarabuuu....yaani mpaka unasema mwenyewe enheeeh. .....huyu ndo mtu. Hata IDs zao tu unaona wapoleeeee. Na wakiandika wanaandika mambo ya maana mpaka unafurahia kuwa JF. wapole sana hata hawana matusi .
Ningesema niwataje majina ila naogopa watajeni wenyewe.
Halafu kuna wale wengine....mama weeeeeh....washari haoooo. Mmmhn.wakorofi na wagomvi yaani anaweza anzisha uzi ukaogopa hata kuchangia. Unajuwa tu kuwa anaweza nifikiria vibaya akaanza kunitukana.Wana matusi na wagomvi tu muda wote kutafuta ugomvi.mi sipendi jamani.sipendi ugomvi na mtu.
Mnafanya hata wengine tuogope kuanzisha uzi au kuchangia maana mnaanza matusi na maugomvi si wengine hatuna nguvu hizo. Mi sitaki maneno na mtu. Tukae tu kwa kupendana. Sawa eeeeh? Tusigombane jamani si vizuri ni dhambi mjue.
Haya mpumzike waty wazuri. Usiku mwemani.