Kuna wakaka wastaarabuuu....yaani mpaka unasema mwenyewe enheeeh. .....huyu ndo mtu. Hata IDs zao tu unaona wapoleeeee. Na wakiandika wanaandika mambo ya maana mpaka unafurahia kuwa JF. wapole sana hata hawana matusi .
Ningesema niwataje majina ila naogopa watajeni wenyewe.
Halafu kuna wale wengine....mama weeeeeh....washari haoooo. Mmmhn.wakorofi na wagomvi yaani anaweza anzisha uzi ukaogopa hata kuchangia. Unajuwa tu kuwa anaweza nifikiria vibaya akaanza kunitukana.Wana matusi na wagomvi tu muda wote kutafuta ugomvi.mi sipendi jamani.sipendi ugomvi na mtu.
Mnafanya hata wengine tuogope kuanzisha uzi au kuchangia maana mnaanza matusi na maugomvi si wengine hatuna nguvu hizo. Mi sitaki maneno na mtu. Tukae tu kwa kupendana. Sawa eeeeh? Tusigombane jamani si vizuri ni dhambi mjue.
Haya mpumzike waty wazuri. Usiku mwemani.
Stereotypical bias.Wapole wengine wana upungufu wa nguvu za kiume hao.
Stwrwotype ni hiyo ya watu wap9le ndiyo wazuri.Stereotypical bias.
Mungu ni chaka la kufichia ujinga tu.Kuna nyuzi huwa unatamani mtu kuanzisha ila ukifikilia tu kuna watu wanawez kuja wakakufanyia collaboration kabisa...
Ukiuliza kosa nini unaambiwa uzi wa wako.una sapport uwepo wa Mungu
πππππππππππππ
Ukitaka ligi lingine uwone watu wamevurugwa sema DUNIA NI DUARA
Kuna majamaa hao wapo toka 2014 hukooo yaani humu ndani wakiingia ni kubishana dunia duara au tambalale basi...
Kuna wengine hapa akija jukwaani utaanza nae kiupole utajua mtu si huyu bana. Ila jichanganye useme sijui Mungu kafanyaje weeee weee utakubali ligi yake
Wewe ni mkorofi.
Bora umsanue, hawajui wakaka wapole wa JF wanayofanya huko piemuni ni π₯π₯π₯Upole is overrated.
Wapole wengine wana upungufu wa nguvu za kiume hao.
Au wengine ni Simba mwenda pole, ndio wala nyama. Ukiwakuta wanakula hao utashangaa mwenyewe kama hawa ndio wale wale wapole au wengine hawa?
Na wanafika chap mkuu, ka'vile walikuwa wanakuona unavo-type uzi.πUkitaka ligi lingine uwone watu wamevurugwa sema DUNIA NI DUARA
Kuna majamaa hao wapo toka 2014 hukooo yaani humu ndani wakiingia ni kubishana dunia duara au tambalale basi...
Kuna wengine hapa akija jukwaani utaanza nae kiupole utajua mtu si huyu bana. Ila jichanganye useme sijui Mungu kafanyaje weeee weee utakubali ligi yake
Mi kusema kweli ngoja ninyamze tu mkuu sina mengi ila hakuna mtu anayejua kesho Yake never know kesho utakua nani mybe nabii kiranga or whateverMungu ni chaka la kufichia ujinga tu.
Unaona eeeh kuna pipo ni very reactive kama zinc kwa chlorineNa wanafika chap mkuu, ka'vile walikuwa wanakuona unavo-type uzi.π
MamboBora umsanue, hawajui wakaka wapole wa JF wanayofanya huko piemuni ni π₯π₯π₯