Nyie kuna uhuni nimewanyia 1xbet sasa najuta naomba msaada

Kwanza hujazingatia vigezo na masharti kwa kufanya sivyo ndivyo

Pili kama kweli umekiuka masharti na vigezo hutaweza kutoa hizo hela ukizingatia kwamba 1xbet haijasajiliwa kutoa huduma Tz

Mwisho, unataka tu upewe namna ya kutoa lakini wewe hutaki kutoa connection ya ulivyo fanya

Kwa ninavyojua mimi so far hakuna namna unaweza kupata kiurahisi tobo la kuwapiga mahela ya maana bookies kiujanja ujanja ........ I stand to be corrected
 
Maelezo yako bado hayajanyooka. Iyo hela unayotaka kuitoa umepiga kihalali au kijanja janja? Kama umeipiga kijanja ulitutakiwa kuitoa fasta halafu usitumie tena app yako ila kama washakushtukia ipotezee tu, kama umepiga kihalali ifatilie kwenye ofisi zao.
 
Kamba hii hamna kitu hapa ..kwa ninavyowajua 1xbet hawapigwi kizembe
 

Nicheck nikusaidie mboka kazi simple tu iyo
Nicheck nikusaidie mbona kazi simple tu iyo
Nicheck nikusaidie mbona kazi simple tu iyo
 
Nicheck nikusaidie mboka kazi simple tu iyo

Nicheck nikusaidie mbona kazi simple tu iyo

Nicheck nikusaidie mbona kazi simple tu iyo
nimeshatoaga
ASANTE mkuu.
 
Yani hiyo njiaa ya kulaa hela kiurahisiii tupe maujanja hapa ufundishwe namna ya kutoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…