DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
- Thread starter
-
- #21
Fursa gani utafanya bila mtaji au unataka kusema kuchoma mahidi ndo fursaUmasikini hauondolewi kwa kukaa darasani tu.
Umasikini ni upeo Mdogo kuhusu kuona fursa katika mazingira yako na kuzigeuza kuwa pesa.
utajiri wa nguvu za giza haupo
waganga wote ni matapeli kama matapeli wengine tu, wana wa brainwashed tu.Kwa manabii siyo ila kwa waganga wanapata tena sana. Utajaza gunia la noti za wekundu wa msimbazi ila tu masharti yanakuhusu tena ya aibu.
Mimi nachojua mtu mpaka umiliki pesa Basi ur mind is active , Hakuna watu wanaroga Kama wavijijini ebu angalia Maisha Yao.?waganga wote ni matapeli kama matapeli wengine tu, wana wa brainwashed tu.
Ni kweli mkuu, maana hata hao waganga huwa wanaambia wafanye kazi kwa bidii, sasa unakuta mtu anafikiri kuwa mali zake zimekuja kimiujiza πNi illusion Mkuu watu wenye pesa ni hard worker the planners nk
wana maisha mabovu hatariMimi nachojua mtu mpaka umiliki pesa Basi ur mind is active , Hakuna watu wanaroga Kama wavijijini ebu angalia Maisha Yao.?
Hii nimeona Sana mtu anaweza kuwa na mtaji na akaamua kukataa anasa Kama pombe , wanawake ,na kuzaa watoto wachache Sasa huyu akitoboa utasema ameroga?Ni kweli mkuu, maana hata hao waganga huwa wanaambia wafanye kazi kwa bidii, sasa unakuta mtu anafikiri kuwa mali zake zimekuja kimiujiza π
Wizi mtupu mbona wao Maisha Magumu?Amini usiamini, Kuna waganga wa kweli wanaofuata masharti, wanapatikana vijijini sio mjini.
shekhe anataka azinfue album
Kafara!!
Haya sawa.Illusion
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zipo mlongoo.Hili SoMo kwa mtu mweusi labda kwa viboko ndio limuingie
Yaani Kuna watu huwa wanaamini eti kuna pesa za miujiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlongo ziwi koki?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zipo mlongoo.
Mtaji ni nini,mtaji ni akili,"usibiri jembe anza kulima kwa mikono jembe litakuja" hii ni methali ya kiChina.Fursa gani utafanya bila mtaji au unataka kusema kuchoma mahidi ndo fursa
Wabongo ni watu wa ajabu Sana