Nyie mnaoenda kwa Waganga na kwa manabii , ili mtoboe niwaambie hamna kitu Mtapata .

Nyie mnaoenda kwa Waganga na kwa manabii , ili mtoboe niwaambie hamna kitu Mtapata .

Umasikini hauondolewi kwa kukaa darasani tu.
Umasikini ni upeo Mdogo kuhusu kuona fursa katika mazingira yako na kuzigeuza kuwa pesa.
Fursa gani utafanya bila mtaji au unataka kusema kuchoma mahidi ndo fursa

Wabongo ni watu wa ajabu Sana
 
Kwa manabii siyo ila kwa waganga wanapata tena sana. Utajaza gunia la noti za wekundu wa msimbazi ila tu masharti yanakuhusu tena ya aibu.
waganga wote ni matapeli kama matapeli wengine tu, wana wa brainwashed tu.
 
Ni illusion Mkuu watu wenye pesa ni hard worker the planners nk
Ni kweli mkuu, maana hata hao waganga huwa wanaambia wafanye kazi kwa bidii, sasa unakuta mtu anafikiri kuwa mali zake zimekuja kimiujiza 😂
 
Amini usiamini, Kuna waganga wa kweli wanaofuata masharti, wanapatikana vijijini sio mjini.
 
Kweli kabisa umenena
Chukua mafuta ya upako na maji kwa mwamposa bili juu yangu.
 
Ni kweli mkuu, maana hata hao waganga huwa wanaambia wafanye kazi kwa bidii, sasa unakuta mtu anafikiri kuwa mali zake zimekuja kimiujiza 😂
Hii nimeona Sana mtu anaweza kuwa na mtaji na akaamua kukataa anasa Kama pombe , wanawake ,na kuzaa watoto wachache Sasa huyu akitoboa utasema ameroga?

Mtu unalipwa laki Saba una watoto sita mke na michipuko na unakula kamnyweso so unataka kusema Kuna uchawi hapo?
 
Yale maisha ni masharti yao, ila wao wanaokupa kama ukithubutu. Kuna Babu mmoja tena mgonjwa wa ukoma kijijini (kapuni) alimpa jamaa kimzizi ili ashinde kesi, hakimu alichanganyikiwa na kesi ikafutwa.
 
Hili SoMo kwa mtu mweusi labda kwa viboko ndio limuingie
Yaani Kuna watu huwa wanaamini eti kuna pesa za miujiza 😂😂😂😂😂
 
Hili SoMo kwa mtu mweusi labda kwa viboko ndio limuingie
Yaani Kuna watu huwa wanaamini eti kuna pesa za miujiza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zipo mlongoo.
 
Fursa gani utafanya bila mtaji au unataka kusema kuchoma mahidi ndo fursa

Wabongo ni watu wa ajabu Sana
Mtaji ni nini,mtaji ni akili,"usibiri jembe anza kulima kwa mikono jembe litakuja" hii ni methali ya kiChina.
Mtaji umfuata anaeutafuta, zipo Kazi mtaji ni nguvu na afya YAKO tu.
 
Khaaah [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Mimi Babu alinipa zana nakula Maisha tu ,kazini naenda kuzuga narudi na Michele ,nyama, mafuta,bila kukopa Wala kulipa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] vya kurithi vitamu hesabu tutaikuta huko hukoo
 
Back
Top Bottom