Nyie mnaomsema Iran kuwa anapiga popote mnajua backup ya Israel kutoka nchi nyengine?

Nyie mnaomsema Iran kuwa anapiga popote mnajua backup ya Israel kutoka nchi nyengine?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Kama hatujui bora tunyamaze ila tutambue kuwa Israel anapata sapoti ya kupita kwenye anga za nchi tofauti na kupiga katika anga la Irani,kama Israel angetumia mabomu ya mbali basi zile system za kuintecept mabomu za Irani zingekuwa vyema na Israel angeshindwa mapema.

Israel anafanikiwa kupiga Iran bila system kuintercept sababu bomu zake zipo karibu kwenye kupiga ndiyo maana mifumo inazudiwa pili anapiga target sababu ya kulenga kwa ukaribu. Lakini Iran bomu linatumia kilometa 2000 kufika target hivyo wanatuma mabomu baadhi kwa target mengine wanayatuma hovyo ili kuipa hasara Israel ikiwa atalenga eneo husika anajua kuna mifumo ya ulinzi itaharibu mabomu yake hivyo amechagua yote kupiga ili atengeneze hasara pia.

Vita ni mbaya sana wadau, ila msishupaze shingo pia.
 
Back
Top Bottom