Ni ngumu kweli lakini kufikia hatua nae kuona haipo kawaida na kuileta humu pasipo kuogopa atazodolewa vipi kutokana na ujanja na umaarufu wake humu ni hatua kubwa na wa hivi akiamua kuacha anaacha kweli so ni kumwambia tu direct kwamba hapo hapendeki kwa kuwa yupo in love basi ajitoe mdogomdogoHuwezi kumpa ushauri na akakusikia 'a girl in love'..
huyu hadi achokwe apigwe kibuti
Best wishesSawa dear...
Thank u maaBest wishes
Ni ngumu kweli lakini kufikia hatua nae kuona haipo kawaida na kuileta humu pasipo kuogopa atazodolewa vipi kutokana na ujanja na umaarufu wake humu ni hatua kubwa na wa hivi akiamua kuacha anaacha kweli so ni kumwambia tu direct kwamba hapo hapendeki kwa kuwa yupo in love basi ajitoe mdogomdogo
Wewe siyo wa kufanywa hivyo.Ahaha kisa?
Kuwa namachale .Being paranoid manaake nin
Anamsoma toka mwaka jana mwezi wa nne? Anamtumia tu dada wa watu.
Yeah ni kweli uloyasema lkn akiamua kumuacha mbn anamuacha tu sema ndo ivo maumivu ya kujiona umetumiwa huwa yanachukua muda hasa km alipenda kwa dhatiNna uhakika kuna vidume tele vinataka kumfanya 'someone special'
but havipi nafasi.....ila hili gumegume ndo 'hajiwezi balaa'
wasichana wengi wanavutiwa na 'bad boys' na wanakimbia 'nice guys'
iko hivyo siku zote
vipi kuhusu mhogo wa jang'ombe?Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:
[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)
[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)
[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji
[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk
[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu
[emoji117]ana tabia ya visasi
Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid
Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote
Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.
Asanteeeee!I dont know=sijui
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla, kama anafanya yote hayo lakin haujamuacha bado uko naye basi ujue ndio saiz yako ukipata mwingine atakusumbua hayo yanarekebishikaMambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.