Nyie mnaonaje kuhusu hili

Nyie mnaonaje kuhusu hili

Huwezi kumpa ushauri na akakusikia 'a girl in love'..
huyu hadi achokwe apigwe kibuti
Ni ngumu kweli lakini kufikia hatua nae kuona haipo kawaida na kuileta humu pasipo kuogopa atazodolewa vipi kutokana na ujanja na umaarufu wake humu ni hatua kubwa na wa hivi akiamua kuacha anaacha kweli so ni kumwambia tu direct kwamba hapo hapendeki kwa kuwa yupo in love basi ajitoe mdogomdogo
 
Nna uhakika kuna vidume tele vinataka kumfanya 'someone special'
but havipi nafasi.....ila hili gumegume ndo 'hajiwezi balaa'
wasichana wengi wanavutiwa na 'bad boys' na wanakimbia 'nice guys'

iko hivyo siku zote
 
Yeah ni kweli uloyasema lkn akiamua kumuacha mbn anamuacha tu sema ndo ivo maumivu ya kujiona umetumiwa huwa yanachukua muda hasa km alipenda kwa dhati

Mabinti wajifunze tu kuwa makini
 
Endelea kumwonea huruma! mbona anaonekana mpole sana
 
My dear kuja kunisema huku JF ndo nini sasa!![emoji44][emoji44][emoji44]
 
Hivi wanaume hamuwaoni? Umri wako binti ni miaka mingapi?
 
Huyo hakupendi dear achana na suala la kupimana we mzani? BTN ndyo Yule wa clouds?
 
unaliwa unakula finale mnakulana......toka nduki
 
Haya tuanzie hapa; kwani unawafahamu ndugu zake?, marafiki wawili wa3??, wafanyakazi wenzake japo wawili hivi??, (kuwajua tu! Si lazima wao wakufahamu)

Haya twendelee; wapo vipi? (hasa ndugu zake na marafiki) kwani shemeji amekuzidi miaka mingi?

La mwisho; ulimtongoza au alikutongoza??

Majibu ya hayo yakiwa 'reasonable' basi wala usipate shaka, shemeji anakusanya taarifa za ki intelijensia akuweke ndani [emoji3]. Wewe piga sala tu na uvumilivu wako dada angu.
 
Umesema unadhani hajawahi ku cheat, sawa. Je simu yake haina ma password? Maana nahisi huyo kuna mahali kwingine amekolea zaidi kuliko kwako na anashindwa kujigawa, wewe ni Kama unalazimisha mapenzi kwake. Mpeleleze anzia kwenye simu yake muombe ushinde nayo kwa masaa kadhaa
 
Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:

[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)

[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)

[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji

[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk

[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu

[emoji117]ana tabia ya visasi

Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid

Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote

Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.
vipi kuhusu mhogo wa jang'ombe?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

man hicho ndo kitu pendwa
 
Ukimchunguza sana bata huwezi kumla, kama anafanya yote hayo lakin haujamuacha bado uko naye basi ujue ndio saiz yako ukipata mwingine atakusumbua hayo yanarekebishika
 
makubaliano yenu ni mtu asijue mahusiano yenu, maana yake mpo kwenye mahusiano kwa siri, hii unadhani inamaana gani kwanza?

hivyo binafsi nikama mtakuwa pamoja kwa sex tu na baada ya hapo kila mtu na kona yake, hakuna muda wakutangaziana shida au story zaidi ,

hivyo naona yeye amesimamia makubaliano yenu hayo, japo wewe unapenda kuwe na mabadiliako au labda umesahau makubaliano yenu ndio maana unaona kama humuelewi jamaa yako ,
 
Back
Top Bottom