Nyie mnaonaje kuhusu hili

Ukishakuwa na wasiwasi na mtu sepa fasta.
 
Toka siku zote izo mnazini tu lakini hujamsoma mzinzi mwenzako kuna shida shida kidogo hapo, ushauri wakati anaficha hisia zake kwako na wewe usijiingize tu kichwa kichwa nawewe ficha zako,
Panapohitaji faraja we chukulia utani flani, akiwa kwenye shida ya pesa mwambie mbona ww wa kishua ivo unaniombaje tena mtoto wa mlala hoi aaf pozea flani ivi,
Hizo njia zikishindika njoo kwangu kabsa tupange mbinu mpya kwa pamoja.
 
Umeamua kuleta huku sawa tutaona
 
By the way huyo jamaa simlaumu sema wew itakuwa wakishua kiasi flani ndo maana jamaa anakuita hivyo... Piaa jamaa aliamini kuwa na wew hatapata maumivu ya Vizingaa japo naee hata Kujiongeza hajuiii... Kingine ukiona mtu anajitahidi kufanya mahusiano yenu yawe ya siri sana jua Ana mtuu anaempendaa sana sana kuliko wew na hataki ajuee... so piga moyo kondee na usiseme sijui hacheat... Dada hujatujuaa Wanaumee nadhaniii... HUJATUJUAAAAA BADOOOO...
 
-KWA KIGEZO CHA KUA WA KISHUA,yeye atakua hajiamini kwa kuhisi atakupa shiling ngapi hadi ulizike ,lakini hii kwa mwanume hatakiwi kuwaza hivyo,kwa maana mwanamke hata angekua tajiri ,ukimpa hata kazawadi kadogo analizika.

KWA KIGEZO CHA KUSHINDWA KUKUPA USHAURI KWENYE SHIDA.
hapa ndipo kwenye tatizo kubwa kwa watu wanao/waliosoma no wasiosoma,inawezekana kwa kujiona wewe ni msomi labda kuliko yeye ,kila akitaka kukushauri wewe unazalau ushauli wake,au unaonyesha alichosema tayari ushakijua.hii inamfanya akose kijiamini zaidi na kujiona yeye hana anachojua zaidi yako.

JIFUNZE KUMSIKILIZA HATAKAMA ANACHIKUSHAULI TAYA UNAKIJUA ZAIDI YAKE.

-KITU CHA ZIADA KWAKO:-kama huyo jamaa elimu yake ni ndogo kabisa,basi hii itamfanya akose kujiamini zaidi maana hata wewe kwa sababu utajiona msomi utaogopa kumtambulisha kwa malafiki zako kua ,anaelimu gani,anafanyakazi wapi.kwa kigezo hiki hata yeye atakua kwenye mapenzi na wewe mguu nje mguu ndani, anajua kuna sikumoja nitaachwa tu.

Maana hatahivyo sifa zenu wasichana wa vyuo hamuaminiki.
 
mwanamke ana asilimia 10 ila kwa mwanume ni 90 lakini mwanaume anaweza kubadilishwa hata kuongozwa ndani ya mapenzi na asilimia zake 90.ikiwa utasimama kama mpenzi bora katika misimamo ya kumuongoza.
tatizo wadada wasiku hizi sijui tokea mmezaliwa mnakuwa hamfundi na mashangazi zenu hata mama zenu jinsi ya kujua wewe ni nani kwa mwanaume.mpaka msubili ndoa muanze kicheni part.
ukifanya hivi mbona hata badilika kwa mda mfupi.
hayo ni mawazo yangu
 
Sawa...kwa mfano nifanyeje
Mpotezee sometimes, usiwasiliane nae kwa mda,be busy na ishu zako,ongea/date na wanaume wengine (not sex),go out wt the girls... Inshort wekeza zaidi ktk maendeleo yako kuliko mahusiano kwa sasa...usijiongeze, Don't make plans with him,acha aanzishe yeye,be laid back and watch how he manages his 50% of the relationship
 
The secret to keeping the fire alive in a relationship is being on and off.... Japo hapo kati mambo ni mengi...and it works kama wote mnapendana and want to stay together
 
acha kumuongopea mwenzio...hyo kakutana na mtu anatabia za ajabu tu
 
Nakushauri umfatilie kwa ukaribu kwa nini hapendi watu wajue mahusiano yenu. ukishajua hilo tuh. haya mengine hayatakusumbua
 
Anamsoma toka mwaka jana mwezi wa nne? Anamtumia tu dada wa watu.
sorry,,,, hivi kwanini mnapenda kusema " anamtumia"!!..kwani msichana ni mashine useme inatumiwa kufyeka majani.....hajambaka,,,katongozwa amekubali....wanaburudisha na mahaba yao......kikubwa na cha kuelewa....bila kuziweka kwa pamoja fikra zenu....ndo haya unayoacoments hapa......muulize abt future in serious way,,,,uliza kwa kumaanisha....kama hamna majibu mwambie ukweli,,,,,ila muda ni muhimu kuzingatia.....angalau si chini ya 2yrs......jitunze msichana,,,,,
 
Mmefika wapi sasa my dear..!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…