Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmesolve lini na ilikuaje? Ushakua mtumwa wa ngono wewe na ata ushauri wa watu huzingatiiTumeshasolve
Kwa kweli kama hata msg huwa unamwandikia jamaa Idk achaa akunyooshee...I dont know=sijui
Umeamua kuleta huku sawa tutaonaMambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:
[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)
[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)
[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji
[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk
[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu
[emoji117]ana tabia ya visasi
Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid
Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote
Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.
mwanamke ana asilimia 10 ila kwa mwanume ni 90 lakini mwanaume anaweza kubadilishwa hata kuongozwa ndani ya mapenzi na asilimia zake 90.ikiwa utasimama kama mpenzi bora katika misimamo ya kumuongoza.Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.
Huyu mwanaume wangu nimeanza kudate nae mwaka jana mwezi wa nne.
Katika kipindi hicho hadi sasa nimegundua yafuatayo:
[emoji117]aliniambia hapendi mtu yoyote ajue about us(am very okay with that mana hata mimi kwa kiasi fulani sipendi, ila sio kwamba ndo niweke nguvu zangu kwenye kufanya mahusiano haya yawe siri....ikitokea mtu akagundua sio kesi kwangu mimi)...ila ye kwa upande flani anakua kama hapendi(though hakasiriki)
[emoji117]anasema me wa kishua so hana haja ya kunipa msaada wa fedha..(kila siku hua namwambia me sio wa kishua but anajitoa ufahamu anang'ang'ania msimamo wake...hata hivyo sijawahi kumwomba hela hata siku moja...sijui anajihami idk)
[emoji117]idk but me namwona kama selfish...anaweza akalalamika shida me nkamsaidia but me nkiwa na shida simwoni hata kunifariji(anadai ye sio mwongeaji sana)...ni kweli ila sitaki kuamini mtu anashindwa hata kutoa maneno ya faraja kwa mpenzi wake et kisa sio mwongeaji
[emoji117]anadai hajui kubembeleza...so kama anataka ufanye kitu fulan akakataa anakuacha...sometimes kitu kinahitaji at least aniconvince but ndo hivo its like anasusa idk
[emoji117]hajawahi kuongelea about our future na akiongelea jua ni about sex tu
[emoji117]ana tabia ya visasi
Sometimes naona ananipenda but nkifikiria hivyo vitu nakua nadoubt idk maybe am just being paranoid
Sijawahi mwona ana dalili zozote za kucheat ila sina uhakika asilimia zote
Sitaki kumjudge vibaya so guys mawazo yenu ni muhimu than you can imagine.
Mpotezee sometimes, usiwasiliane nae kwa mda,be busy na ishu zako,ongea/date na wanaume wengine (not sex),go out wt the girls... Inshort wekeza zaidi ktk maendeleo yako kuliko mahusiano kwa sasa...usijiongeze, Don't make plans with him,acha aanzishe yeye,be laid back and watch how he manages his 50% of the relationshipSawa...kwa mfano nifanyeje
acha kumuongopea mwenzio...hyo kakutana na mtu anatabia za ajabu tuKwa uliyoeelezea hapo juu huyo mwanaume hakupendi, kwanini mtu yoyote asijue labda kama nyie ni wanafunzi otherwise ana mtu so anaogopa yasije mfikia.
Kuhusu hela sio mbaya san asipokupa ila kama mtu wako inapendeza siku moja moja akupe ingawa si lazima sana.
Upo kwake kwa ajili ya sex kwanini aongelee mambo ndoa, stuka.
Kwa kifupi hana mapenzi na wewe,jiongeze.
Haya muambie ukweli weweacha kumuongopea mwenzio...hyo kakutana na mtu anatabia za ajabu tu
unajua kama hampendi sasa na mtu wana mwaka sa hvi......acha kumuongopea mwenziooHaya muambie ukweli wewe
sorry,,,, hivi kwanini mnapenda kusema " anamtumia"!!..kwani msichana ni mashine useme inatumiwa kufyeka majani.....hajambaka,,,katongozwa amekubali....wanaburudisha na mahaba yao......kikubwa na cha kuelewa....bila kuziweka kwa pamoja fikra zenu....ndo haya unayoacoments hapa......muulize abt future in serious way,,,,uliza kwa kumaanisha....kama hamna majibu mwambie ukweli,,,,,ila muda ni muhimu kuzingatia.....angalau si chini ya 2yrs......jitunze msichana,,,,,Anamsoma toka mwaka jana mwezi wa nne? Anamtumia tu dada wa watu.
Mmefika wapi sasa my dear..!!??Mambo zenu humu ndani,jamani yamenifika hapaaaa naomba ushauri wenu.