Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
- Thread starter
- #21
Ahaha kisa?Nimepata wivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaha kisa?Nimepata wivu
Hapana aisee, hana msaada wa kifedha wala kimawazo mahusiano gani hayo?Wengine ni slow learners. Halafu huenda jamaa kaweka kipindi cha majaribio kiwe kirefu ili ajue kama bibie ni mvumilivu
au mkata tamaa
I dont know=sijuiIdk ni nini?
Ahaha kisa?
But ye ni mrefu sana...sema point takenPole sana ana tabia zote za wanaume mashortiii gubu za kipuuzi na uchoyo cha kufanya jikatae mdogomdogo
Nb; wanajuaga sana kukamua hao watu lkn tabia zao kijamii zinaleta chefuo
Its hard to tell mana kuna mda naona ananipenda tu na hajaonesha dalili za kucheat...Kweli ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu
ninavyokuona mjanja humu kumbe kuna kidume kimekugeuza
'demu wa kupita njia'..
yaani jamaa anazumgumza akitaka sex tu na bado hujamuelewa anavyokuchukulia?
na hataki mjulikane?
The truth huyo jamaa anapenda tu mwili wako but hakupendi na anaona
aibu kuwa na wewe hadharani.....na hana future na wewe...
but sex ni tamu naona so anaenda na wewe kihivyohivyo....
wewe ndo bado hujui unatumika......pole sana
Pole sana jiondoe tu taratibu jamaa hakupendi hasa hiyo kutotaka mjulikane km mnadateBut ye ni mrefu sana...sema point taken
Its hard to tell mana kuna mda naona ananipenda tu na hajaonesha dalili za kucheat...
But again maybe am blinded kwa kumpenda idk
Pole sana jiondoe tu taratibu jamaa hakupendi hasa hiyo kutotaka mjulikane km mnadate
I got you...thanksKutoku cheat haina maana anakupenda
ha cheat kwa sababu anaowataka pengine watam cost pesa na pesa hana
kwako anapata sex free na kumsaidia unamsaidia...
wewe anakuona 'sio wife material' ndo maana hataki watu wakujue
anakuchukulia 'kicheche fulani'...but hawezi kukuonesha sababu
he needs sex unayompa for now..
nahisi utakuwa na sexy body...but kuna tabia hivi zinamfanya awe anakufanya
'mzigo wake wa kimyakimya'...sio wife mtarajiwa
Hapanahuyo mpenzi wako ni mwana jeshi?
Sawa dear...Pole sana jiondoe tu taratibu jamaa hakupendi hasa hiyo kutotaka mjulikane km mnadate