Nyie mnaopenda kuiga biashara za watu hebu jaribuni kuweni wabunifu, mnaleta chuki ipo siku tutakuja kuonana wabaya

Pole Sana mkuu inaonekana leo una stress Sana ila ni kawaida sana kwenye biashara vitu Kama hivyo kutokea
Muda uliokuwa mwenyewe ulitakiwa ujiandae kiakili pia ulitakiwa uwekeze kwingine ili kusudi kwamba uwe na back up
Kumbuka siku zote usiweke mayai yote kwenye kapu moja
 
Basi hama wewe nenda kwenye hizo location nyingine..!!
Nani anayetakiwa kuhama?? Aliyemkuta mwenzie au mimi?? Wewe huwezi kunikuta mimi nikifanya biashara the same ambayo unayotaka kufanya alafu uniamuru mimi nihame!!! Hilo haliwezekani kama huwezi kubuni biashara nyingine sio lazima kufanya biashara hujalazimishwa kaa nyumbani tulia
 
Mbongo Aisee ni mtu mwenye kichwa kigumu sana. Imagine mtu unaona kabisa sehemu fulani kuna biashara kama nne zinazofanana we unaenda kuanzisha biashara hiyo hiyo, hivi hii inaingia akili kweli au mnataka watu tuanze kuitana wachawi??

Mtu unaona kabisa sehemu fulani kuna stationary na studio kama tano na wewe pia unataka unazishe stationary kisa tu umemuona fulani ana wateja wengi kwenye stationary na wewe umeamua kuleta biashara yako tuanze kugombania wateja mwisho wa siku watu tunaanza kuitana wachawi

Halafu isitoshe nyinyi mnaopangisha fremu utamruhusu vipi mtu afanye biashara the same kama wapangaji wengine wanafanya hiyo biashara, huko ni kuleta uchonganishi. Kugombanisha pasipo na sababu za msingi.

Hii kuigana igana biashara inatia hasira sana. Basi tu watu tunaamua kuishi hivo hivyo. Siku ya pili sasa wateja wamepungua sana ofisini kwangu. Itoshe kusema wabongo mnamauzi sana.

Mawazo duni hayo, hizo fremu zingejengwa km ukiwa na mtazamo huo?
Kuna biashara baadhi ya maeneo hupangiliwa mfano maduka ya nguo mtaa huu, vyakula mtaa mwingine, stationeries mtaa mwingine, maduka ya nyama mtaa wake pia.
Ulitaka muuza nguo akafungue mtaa wa spare za magari?
Biashara inaendana na eneo sheikh ongeza ubunifu wateja watakufuata tu
 
Tusamehe,tumeshazoea copy and paste,ubongo wetu haupendi kuwaza sana.....
 
Mawazo duni hayo, hizo fremu zingejengwa km ukiwa na mtazamo huo?
Kuna biashara baadhi ya maeneo hupangiliwa mfano maduka ya nguo mtaa huu, vyakula mtaa mwingine, stationeries mtaa mwingine, maduka ya nyama mtaa wake pia.
Ulitaka muuza nguo akafungue mtaa wa spare za magari?
Biashara inaendana na eneo sheikh ongeza ubunifu wateja watakufuata tu
Ngoja niende kwa mtaalamu anifanyie mvuto wa wateja !!!! Huu ndio ubunifu wangu uliobaki
 
Hii kuigana igana biashara inatia hasira sana. Basi tu watu tunaamua kuishi hivo hivyo. Siku ya pili sasa wateja wamepungua sana ofisini kwangu. Itoshe kusema wabongo mnamauzi sana.
na wataisha wote, endelea kuwa na huduma mbovu
shida sio biashara kufanana, shida ni huduma bora na ubunifu
 
Pole Sana mkuu inaonekana leo una stress Sana ila ni kawaida sana kwenye biashara vitu Kama hivyo kutokea
Muda uliokuwa mwenyewe ulitakiwa ujiandae kiakili pia ulitakiwa uwekeze kwingine ili kusudi kwamba uwe na back up
Kumbuka siku zote usiweke mayai yote kwenye kapu moja
Niwekeze kwingine wapi ndugu huo mtaji nitaupatia wapi?? Hapa yenyewe biashara ninayoifanya ina miezi miwili tu, mara ghafla mwingine kashaanza kuniiga
 
Back
Top Bottom