Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mimi siwezi hili suala la kugawana ni bora nihame nitafute location nyingine
Nani anayetakiwa kuhama?? Aliyemkuta mwenzie au mimi?? Wewe huwezi kunikuta mimi nikifanya biashara the same ambayo unayotaka kufanya alafu uniamuru mimi nihame!!! Hilo haliwezekani kama huwezi kubuni biashara nyingine sio lazima kufanya biashara hujalazimishwa kaa nyumbani tuliaBasi hama wewe nenda kwenye hizo location nyingine..!!
Mbongo Aisee ni mtu mwenye kichwa kigumu sana. Imagine mtu unaona kabisa sehemu fulani kuna biashara kama nne zinazofanana we unaenda kuanzisha biashara hiyo hiyo, hivi hii inaingia akili kweli au mnataka watu tuanze kuitana wachawi??
Mtu unaona kabisa sehemu fulani kuna stationary na studio kama tano na wewe pia unataka unazishe stationary kisa tu umemuona fulani ana wateja wengi kwenye stationary na wewe umeamua kuleta biashara yako tuanze kugombania wateja mwisho wa siku watu tunaanza kuitana wachawi
Halafu isitoshe nyinyi mnaopangisha fremu utamruhusu vipi mtu afanye biashara the same kama wapangaji wengine wanafanya hiyo biashara, huko ni kuleta uchonganishi. Kugombanisha pasipo na sababu za msingi.
Hii kuigana igana biashara inatia hasira sana. Basi tu watu tunaamua kuishi hivo hivyo. Siku ya pili sasa wateja wamepungua sana ofisini kwangu. Itoshe kusema wabongo mnamauzi sana.
Aaah wapi kwani ananijua?? Harakati zangu atazijulia wapi??[emoji23][emoji23]utafeli tu mana hilo litakufuata hata uende wapi ndani ya mipaka ya nchi hii
Tusamehe,tumeshazoea copy and paste,ubongo wetu haupendi kuwaza sana.....Mbongo Aisee ni mtu mwenye kichwa kigumu sana. Imagine mtu unaona kabisa sehemu fulani kuna biashara kama nne zinazofanana we unaenda kuanzisha biashara hiyo hiyo, hivi hii inaingia akili kweli au mnataka watu tuanze kuitana wachawi??
Mtu unaona kabisa sehemu fulani kuna stationary na studio kama tano na wewe pia unataka unazishe stationary kisa tu umemuona fulani ana wateja wengi kwenye stationary na wewe umeamua kuleta biashara yako tuanze kugombania wateja mwisho wa siku watu tunaanza kuitana wachawi
Halafu isitoshe nyinyi mnaopangisha fremu utamruhusu vipi mtu afanye biashara the same kama wapangaji wengine wanafanya hiyo biashara, huko ni kuleta uchonganishi. Kugombanisha pasipo na sababu za msingi.
Hii kuigana igana biashara inatia hasira sana. Basi tu watu tunaamua kuishi hivo hivyo. Siku ya pili sasa wateja wamepungua sana ofisini kwangu. Itoshe kusema wabongo mnamauzi sana.
Ngoja niende kwa mtaalamu anifanyie mvuto wa wateja !!!! Huu ndio ubunifu wangu uliobakiMawazo duni hayo, hizo fremu zingejengwa km ukiwa na mtazamo huo?
Kuna biashara baadhi ya maeneo hupangiliwa mfano maduka ya nguo mtaa huu, vyakula mtaa mwingine, stationeries mtaa mwingine, maduka ya nyama mtaa wake pia.
Ulitaka muuza nguo akafungue mtaa wa spare za magari?
Biashara inaendana na eneo sheikh ongeza ubunifu wateja watakufuata tu
Aaah wapi kwani ananijua?? Harakati zangu atazijulia wapi??
Ngoja niende kwa mtaalamu anifanyie mvuto wa wateja !!!! Huu ndio ubunifu wangu uliobaki
na wataisha wote, endelea kuwa na huduma mbovuHii kuigana igana biashara inatia hasira sana. Basi tu watu tunaamua kuishi hivo hivyo. Siku ya pili sasa wateja wamepungua sana ofisini kwangu. Itoshe kusema wabongo mnamauzi sana.
Niwekeze kwingine wapi ndugu huo mtaji nitaupatia wapi?? Hapa yenyewe biashara ninayoifanya ina miezi miwili tu, mara ghafla mwingine kashaanza kuniigaPole Sana mkuu inaonekana leo una stress Sana ila ni kawaida sana kwenye biashara vitu Kama hivyo kutokea
Muda uliokuwa mwenyewe ulitakiwa ujiandae kiakili pia ulitakiwa uwekeze kwingine ili kusudi kwamba uwe na back up
Kumbuka siku zote usiweke mayai yote kwenye kapu moja
Subiri dawa yako iko jikoni utahama mwenye tu hapo.[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu niliona unalemewa na wateja nikaona nifungue tawi kwa hapa pembeni...
Jaribu usiogope unaweza sana mkuuNje ya mada kidogo, Kumbe naweza nikapata faida 100m per day kwenye biashara ya stationary [emoji848][emoji18][emoji18]
Muda ukiisha Hama mwenyeweHuko ni kuleta uchonganishi kama vipi rudisha kodi yangu nihame
Asa wewe unataka niongezee ubunifu gani?? Kabla ya kuja huyu mshindani wangu mbona wateja hawakulalamika kuhusu huduma ninazotoa wala hapakuhitaji ubunifu wowote!Una pesa za kuchezea
Hamjalazimishwa mfanye biashara si mbaki nyumbani mtulie kama hamuwezi kushughulisha ubongo wenuTusamehe,tumeshazoea copy and paste,ubongo wetu haupendi kuwaza sana.....