Upangaji wa biashara ni jukumu la serikali kwa baadhi ya nchi na nchi na sio kiholela kama kwetu
Kuna watu povu limewatoka bila kutembea na kuona Dunia huwezi kujua mambo mengi na ndio maana wengi hawana uelewa
Kwa mfano UK biashara zina namba kuanzia A1,A2,A3,A4, na A5 zote hizo ni biashara tofauti tofauti
Unakuta duka linakodishwa kwa mfano A1 hiyo ni biashara ya posta, au retail goods na huwezi kufungua chakula kama mgahawa
Biashara zinadhibitiwa na serikali na sio kiholela kama sisi
Zipo biashara zinazofanana mtaa mmoja labda kwa sababu ya demand lakini sio kuweka vinyozi 5 mtaa mmoja