Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Kaka ukiendelea na hii roho utakuwa mchawi!maana umekazania sana Hilo la ushirikina ndio nyie mnaofunga biashara za watu,Sasa kabla hujafanya hivyo kumbuka mwenzio nae anatafutia watoto wake waende chooni.....mnaleta shida sana kwenye biashara nyie watu wa hiviKwani location zingine huzioni mpaka un'gan'ganie sehemu ambayo watu umetukuta tunafanya biashara the same ambayo wewe unayotaka kufanya. Nyie ndio mnaoleta chuki na ushirikina. Why usitafute location nyingine