Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
HahahaJamani leo katika pita pita zangu katika mtandao wa LinkedIn
Mekutana na mtu anaitwa George n,
Sijui ndo love at first sight sijui ndo Niko mpweke
Nyie nimeview profile ya George jamani am still viewing George's pic, and there's no way naweza mwambia ntaonekana kamalaya basi meishia tu kusave pic ake na kuiangilia
Nyie niitieni George mwambieni he's making me sleepless [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji1][emoji1][emoji1] seriously jini mahaba unavunja moyoMajini mahaba yanataka kukutana Sasa..[emoji23]
Afu ana normal position basi tu George nyieBio inasemaje?manager wa kampuni au CEO? itakuwa umependa bio
Sawa tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Dada tuliza moyo ufanye maamuzi mazuri we nenda hovyo mapenzi sio chai dada!,mi sikukatazi ila kuwa makini penye hisia weka na akili.😅[emoji1][emoji1][emoji1] seriously jini mahaba unavunja moyo
It's been 90 days tangu awe onlineKwanini usinge connect naye huko huko linkedin
Sawa mdogo angu ila George jamaniDada tuliza moyo ufanye maamuzi mazuri we nenda hovyo mapenzi sio chai dada!,mi sikukatazi ila kuwa makini penye hisia weka na akili.[emoji28]
Kwa Mara ya kwanza nungunungu nimetoa ushauri mpk moyo wangu umesema yes..[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Majini mahaba yanataka kukutana Sasa..[emoji23]