Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
Jamani leo katika pita pita zangu katika mtandao wa LinkedIn. Mekutana na mtu anaitwa George n. Sijui ndo love at first sight sijui ndo Niko mpweke.
Nyie nimeview profile ya George jamani am still viewing George's pic, and there's no way naweza mwambia ntaonekana kamalaya basi meishia tu kusave pic ake na kuiangilia.
Nyie niitieni George mwambieni he's making me sleepless [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]