Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mtume Paul kuna wakati anawaandikia waraka Wagalatia alilazimika kutumia lugha nguvu, lugha ya hasira "Ni nani aliyewaroga".
Alishangaa kanisa la Galatia kuanza katika Roho na kumaliza katika mwili.
Vijana wengi Wafuasi wa MANGE ni wale wenye elimu kuanzia kidato cha nne mpaka bachelor degree.
Sasa vijana ambao walipaswa kuwa wa mfano, vijana ambao wamempa akili zao MANGE Kimambi afikiri badala yao ni hatari sana.
Ni nani kawaroga enyi vijana wa hovyo?
Kulingana na RIPOTI ya kitaalamu iliyotolewa jana ni dhahiri maandamano yake ya October 29 na uharibifu ule haukuja tu bali ulipangwa na waliofanya uharibifu walipata mafunzo ya kutosha.
Ingawa naamini kuwa wapo vijana fuata upepo walijumuika ila ni kweli kabisa maandamano yale ni uhaini na mapinduzi ya umma. Umma uliingizwa kwenye mapinduzi na watu wachache kwa faida zao
Kati ya vituo vya mafuta 41 vilivyopigwa moto hakuna hata kituo kimoja ambacho mchomaji amekufa wakati anachoma kituo cha mafuta.
Wewe nenda kienyeji kachome sheli uone moto utakavyokuramba . Mafuta ni kama bomu, mtu asiye na mafunzo na mabomu akilichezea lazima bomu limfie mwilini.
Serikali isiwachekee wahusika wakuu washitakiwe kwa makosa ya uhaini na mapinduzi wakipatikana na hatia wanyongwe hadharani mchana kweupe.