Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

My Honest Book

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
1,363
Reaction score
2,161
Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.

Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc

Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.
 
Kwny harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar
Watu wanapokea miamala ya miujiza kwny simu zao mmoja apa kapokea 43k mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc

Anachosema huyu Nabii kwmb izo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini km muamala,pesa zngne kashika anazigawa ovyo
Dola 200M as in 200 million?

Kwenye simu?

Za Zimbabwe au US?
 
Kwny harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar
Watu wanapokea miamala ya miujiza kwny simu zao mmoja apa kapokea 43k mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc

Anachosema huyu Nabii kwmb izo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini km muamala,pesa zngne kashika anazigawa ovyo
Kwa mara ya kwanza nimecheka muujiza kha.
 
Note: Hakuna pesa ya bure namna hiyo hapa ulimwenguni
 
Sio mm mkuu ni bi mkubwa mmoja bonge white ndo kapokea apa Live usd 200M kwny simu
Nakwambia hivi, huijui 200m USD ni nini.

Hiyo ni hela ya mkopo inapewa Tanzania nzima, si hela ya kutumiwa mtu kwenye simu.

Kwanza hela kubwa kama hiyo haiwezi kupita kwenye mitandao ya simu bila ya ku trigger Anti-Money Laundering breaks.

Kampuni nzima ya Vodacom imepata faida ya dola milioni 18.6. Sasa huyo dada katumiwa zaidi ya mara kumi ya faida yote ya Vodacom kwa mwaka, kwenye muamala mmoja?

Back
Top Bottom