Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

Hamna tena? Huwaoni Waarabu wa DP World tumewapa nini?


Hujaona Waarabu wa Oman tumewapa nini?


Hjaona Waarabu wa Saudi Arabia tunewapa nini?


Hujaona Waarabu wa Sbu Dhabi tumewapa nini?


Jamuulize pengo kama huelewi.
Hapo sawa
 
Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.

Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc

Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.
Ila yeye akitaka sadaka anaagiza sadaka halisi,aaaahaaa
 
Back
Top Bottom