kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Swala la Dp World limewashinda mnaanza kua wambeya sasaKwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.
Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc
Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.