Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar.

Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc

Anachosema huyu Nabii kwamba hizo pesa wanazopokea zimetokana na pesa zinapotea baharini, yeye anazitoa huko anawapa hawa waumini kama muamala, pesa zingine kashika anazigawa ovyo.
Dola 200M?
Haiwezekani
 
Back
Top Bottom